Kuna mkazi mmoja hapo kwa jina la Eiyer lbd anafahamu zaidi kuhusu hizi biashara! Lbd atujuze kidogo kulikoni hapo mwanza??
Na kwa kila Mtanzania mwenye upendo na nchi yake.
njia pekee ya kuwaondoa ni nchi kwanza iboreshwe aisee, pesa tanzania hakuna, wapo wanaoingia kwa kupenda ngono ila usisahau wengi ni kwa ajili ya pesa, kama mtu anapesa basi asingeenda kufanya ngono pale, mabinti wengi hutongozwa na washkaji kila siku unadhani kama ana hela aende kujiuza ya nini huku wapo watu wanaomsumbua ambao angewakubali na kufanya nao ngono ka shida yake ni ngono.. Mwanza inazidi kua dili sababu hata maaskari nao sasa washaona hawana la kufanya, unakuta wanapanga nao njama, msela anaenda akishavua tu wanamkamata wanahongwa afu wanagawana na yule malaya, hii nimeishuhudia mara nyingi sana. inarudi palepale PESA, askari naye ndiyo njia yake ili aishi sasa atafanyaje...
Hahaha mkuu sina shida kiasi cha kwenda kujiuza, mkuu mimi ni mwanaume afu namshukuru Mungu nasoma bila shida kabisa.. Japo nimewaona wengi tu, kuna kipindi nilikua nafahamu kama wanne ambao walikua marafiki na hizo ndizo stori walikua wananipa. Ahsante kwa kuuliza lakinidah,wewe ni muhisika au?
njia pekee ya kuwaondoa ni nchi kwanza iboreshwe aisee, pesa tanzania hakuna, wapo wanaoingia kwa kupenda ngono ila usisahau wengi ni kwa ajili ya pesa, kama mtu anapesa basi asingeenda kufanya ngono pale, mabinti wengi hutongozwa na washkaji kila siku unadhani kama ana hela aende kujiuza ya nini huku wapo watu wanaomsumbua ambao angewakubali na kufanya nao ngono ka shida yake ni ngono.. Mwanza inazidi kua dili sababu hata maaskari nao sasa washaona hawana la kufanya, unakuta wanapanga nao njama, msela anaenda akishavua tu wanamkamata wanahongwa afu wanagawana na yule malaya, hii nimeishuhudia mara nyingi sana. inarudi palepale PESA, askari naye ndiyo njia yake ili aishi sasa atafanyaje...
ila cyprian kuna mabnt wengne unakuta kwao wanakila k2,bt she stlls sells her body
Habari zenu,biashara hii ya ngono imeshamiri sana, maeneo mengi tanzania ukiwemo mkoa wa MWANZA, lakini kinachonikera zaidi ni nyumba ambazo zimepangshwa na hawa madada poah,na biashara hii kuendelea hadi mchana,kilichonikera zaid had watoto wenye miaka 13-16 wakijihusisha ktk biashara hii,mfano-leo nimeshuhudia mtoto wa miaka 13 akichukuliwa na mjibaba mwenye takriban 40-45 yrs kwa buku 5..je,hii kwel ni haki?...next time nitataja maeneo hayo ili VIRANJA wafatilie..kwa undani! UPDATEDBOY
ulikuwa na kale kadem kafupi keupe kembamba.. Kumbe ndiyo wewenmepata huduma mda mfupi tuu umeisha....bila shaka nmenjoy mwanza mnoooo
Kazi ipoHabari zenu,biashara hii ya ngono imeshamiri sana, maeneo mengi tanzania ukiwemo mkoa wa MWANZA, lakini kinachonikera zaidi ni nyumba ambazo zimepangshwa na hawa madada poah,na biashara hii kuendelea hadi mchana,kilichonikera zaid had watoto wenye miaka 13-16 wakijihusisha ktk biashara hii,mfano-leo nimeshuhudia mtoto wa miaka 13 akichukuliwa na mjibaba mwenye takriban 40-45 yrs kwa buku 5..je,hii kwel ni haki?...next time nitataja maeneo hayo ili VIRANJA wafatilie..kwa undani! UPDATEDBOY
Hahahanmepata huduma mda mfupi tuu umeisha....bila shaka nmenjoy mwanza mnoooo
maisha magumu wazazi wanatelekeza watoto hapo ndio tatizo la ukahaba linapoanzia wazazi tujirekebishe tupende familia
^^
Ni vema ukisema "ni-tawasaidiaje" kuliko tutawasaidiaje maana mkono utoao pasipo wengine kujua hubarikiwa.
Fanya hivyo Mkuu dunia ya sasa,,wengine wanafurahi kuwaona pale kwani ni mtaji.
^^