[URL]https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/533420-mambo-usiyoyafahamu-kuhusu-biashara-ya-ngono-mitaa-ya-manzese-mitaani-na-guest-house-3.html[/URL]
Umenena vyema,lakini wengine hawatelekezi familia ila watoto wenyewe wamekua hawajitambua kabisa,utandawazi unawadanganya,ni wakati wa wazazi kulea familia zao vyema na kuwaongoza katika maadili mema na wafundshe kuwa na hofu ya Mungu nayo inasaidia sanamaisha magumu wazazi wanatelekeza watoto hapo ndio tatizo la ukahaba linapoanzia wazazi tujirekebishe tupende familia
Teh teh wacha watu waenjoy bana, hao watoto jina tu mkulu ila viounon n bib zako!
Mara kibao me nakutana nao maeneo ya jij,hata pale stand yat post wapo
^^
Pesa na njaa.
^^
hata kama,bt they stl our youngs xo lets unite and stand against ths!
maisha magumu wazazi wanatelekeza watoto hapo ndio tatizo la ukahaba linapoanzia wazazi tujirekebishe tupende familia
ndio ni pesa na njaa,2tawaxaidiaje?
Maisha bora kwa kila mtanzania,wenye slogan hiyo wanasema hayo maisha bora hayatakufata mlangoni kwako,hizo na fursa za ajira walizohaidiwa na ccm
acheni kununua wanawake,,,,,,,,,,
Maisha bora kwa kila mtanzania,wenye slogan hiyo wanasema hayo maisha bora hayatakufata mlangoni kwako,hizo na fursa za ajira walizohaidiwa na ccm
Huwez nakuapia
hata kama,bt they stl our youngs xo lets unite and stand against ths!