Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
wanaoenda kununua ni wanawake wenzao kwani!!!!!!!!
au kuuza ndio upofu,kununuaa ndio vizuri
Biashara inazidi kushamiri cos kuna wanunuzi
Huo umalaya wanafanya peke yao?????
somo la leo halimhusu mwanamme!wanaoenda kununua ni wanawake wenzao kwani!!!!!!!!
au kuuza ndio upofu,kununuaa ndio vizuri
Biashara inazidi kushamiri cos kuna wanunuzi
please achana na hiyo siku nyingine linatosha tu huli la leo!!mwanamke ni chanzo cha mabadiliko!!... Usiniambie na mwanaume je? Somo la leo linakuhusu wewe mwanamke, mwanaume siku nyingi
amenikwaza sana huyu kaka si kwa sababu mimi ni mwanamke bali anazungumza vitu ambavyo hajafanyia tafiti anaangalia vitu kirahisi sanawanaoenda kununua ni wanawake wenzao kwani!!!!!!!! au kuuza ndio upofu,kununuaa ndio vizuri Biashara inazidi kushamiri cos kuna wanunuzi
hakika umekosea sana sina maneno mazuri ya kukwambia ila umekosea hujafa hujaumbika kuna siku utayakumbuka haya maneno.
pole wewe usiefkiri kwa kutumia ubongo nipo ndani nimetulia hofu kwako unoranda na njia kutizama yosokuhusu!!! kama mtu ulie na akili ulipaswa kutafuta suluhu ya hlo tatizo si kuwasonta vidole we unadhani wanapenda?si wote wako pale kwa kupenda fkiria mara mbili.Kuna sehemu imetukana? nimeongea uongo? anayejiuza huko mtaani ni mwanaume? Acha jaziba kama upo kwenye huo upofu pole sana kifo kibaya sana
pole wewe usiefkiri kwa kutumia ubongo nipo ndani nimetulia hofu kwako unoranda na njia kutizama yosokuhusu!!! kama mtu ulie na akili ulipaswa kutafuta suluhu ya hlo tatizo si kuwasonta vidole we unadhani wanapenda?si wote wako pale kwa kupenda fkiria mara mbili.
we mwanume mzima kilichokupeleka ni nini elewa kitu kimoja si utetezi na kumsaidia mtu si kifedha hata psychological help inaweza msaidia sana kaka angu kubwata humu ndani hakuwezi kukusaidia fanya kitu kionekane umemwita kipofu mfungue macho!aafu ptuu mwenyeweKina kuuma nini sasa? Ni ukweli mtupu usiopingika Mwanamke anayejiuza anajichimbia shimo tena baya la mauti! Suluhu ya kujiuza ni kuacha kwa maamuzi yake mwenyewe, hakuna mtu atakayekuja kumuachisha. Ni wangapi wasichana wanasota wamelala njaa kwa kukosa chakula kwanini hawajaenda kujiuza? Unatetea ujinga mkubwa huku ukijidai unatumia utumbo mpana kufikiri. Mwanamke mzima umo ndani umetulia na heshima zako unaweza kutetea huu uachafu unaofanywa na mwanamke anayejiuza? Pyuu labda unatumia udongo kufikiri na busare!