Haya ni mambo ya kawaida duniani kote meli zinapokuwa out ankor, ni kawaida kabisa na wala sio kificho baadhi ya nchi ni biashara ya kawaida na unapokaribia out ankor unaweza kuingia online na kuagiza mchuchu...Manila phillipine huwa wanapanda kwenye boti zao hata mademu 20 then wanapita ship to ship kudrop packages..Dunia inamambo tembea uone..