Biashara ya Ng'ombe

Biashara ya Ng'ombe

crecknerz

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
88
Reaction score
12
Niko Zanzibar ambapo Ngo'mbe wa kilo 200 anauzwa laki 7.

Ngombe huyo wanapatikana Mwanza Magu au Dodoma Kigwe kwa laki moja au laki, na 30 nyasi za kula na mswagaji mpaka Dar kwa Ng'ombe 50 ni laki mbili na kibali kila Ngombe ni elfu moja. Kukodi gari (semi-trailer) kutokea Mwanza to.Dar ni milion moja na laki4.

Kutoka Dar kwa jahazi mpaka zanzibar kila ngombe ni elfu 20. Wakifika Zanzibar kila Ngo'mbe kwa jumla tunauza laki6..na Zanzibar nina eneo.kubwa lakuwafikisha Ngo'mbe hao na pia kwa idadi ya Ng'ombe 50 namaliza kuuza kwa siku moja. So ni full business plan but sina capital ila na connection nzima.

Nitafute 0716121313 na kama unayo deal ya nguruwe pia safi.

Mungu atujazie wepesi.
 
kwani Pugu bei ilishuka mpaka uwafushe kwa jahazi mpaka zenj?.
Halafu ng'ombe wa 150,000 kanda ya ziwa ilikua miaka ya nyuma.sasa ni kuanzia laki mbili na ushee kwa ng'ombe aliekonda a.k.a ngofu
 
duh hadi nguruwe wanavushwa kupelekwa Zanzibar,kweli Zbar kushney
 
mwanza hakuna ng'ombe wa bei hiyo aseeh...na hakuna bei hyo ya semitrailer DAR-MWANZA kwa mil laki.4...scania R420 inatumia litre 450-550 inategemea na gari..sas piga hesabu ya mafuta alafu na hyo pesa ulyotaja itamlipa mwnye gari..labda kutoka DAR-DOM..pga hesabu vzur tena..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuna mtu ana mbuzi wapo dar tayari unaweza mcheck kwa no 0756280323
 
Zanzibar hakuna walaji wa nguruwe labda wahamiaji kutoka Tanganyika.
 
mwanza hakuna ng'ombe wa bei hiyo aseeh...na hakuna bei hyo ya semitrailer DAR-MWANZA kwa mil laki.4...scania R420 inatumia litre 450-550 inategemea na gari..sas piga hesabu ya mafuta alafu na hyo pesa ulyotaja itamlipa mwnye gari..labda kutoka DAR-DOM..pga hesabu vzur tena..
kuna hizi semi trail zinapeleka mzigo mfano congo zinakuwa zinarudi tupu kwahiyo bei ya kuipakilia mzigo inapungua ili isirudi bandarini dar ikiwa tupu.
Hapo ni kama umechukulia ng'ombe kahama,kwa mwanza bei lazima iwe juu kidogo
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 
Back
Top Bottom