Biashara ya nafaka ni uhakika

Biashara ya nafaka ni uhakika

Wang chung

Member
Joined
Oct 26, 2024
Posts
32
Reaction score
48
Biashara ya nafaka ni biashara nzuri sana. Nimefanya tafiti toka mwaka 2021 nemegundua kuwa mahindi Huwa yanashuka sana mwezi wa 7 Hadi 9 bei hufika Hadi tsh 6000 kwa debe moja(Lita 20) kwa maeneo ya vijijini (utafiti wangu nilifanyia njombe). Ila ikifika mwezi wa 2 Hadi 6 mahindi huuzwa tsh 10000 Hadi 12000.

Pia magunia ya kuhifadhia mahindi(haya ni magunia ambayo huitwa hermetic bags kitaalumu, ni magunia yenye layer zaidi ya moja) huuzwa tsh 6000 kwa Kila gunia moja linaloweza kubeba zaidi ya debe 6. Kiufupi Kila gunia moja la debe sita linakupa faida ya tsh 24000. Ukiwa na Dunia zako 100 za mahindi unapata faida ya milioni 2.4

. Jitaidi kupepeta mahindi Yako vizuri kabla hujaweka kwenye magunia Ili kuzuia wadudu kuhalibu mazao Yako na wewe kukosa soko .

JAPO FAIDA SIO KUBWA SANA ILA SIO SAWA NA KUWEKA HELA BANK ZIKAE TU

Karibuni
 
Kwenye hizo hesabu zako ume keep constant usafiri.

Bidhaa nyingi sehemu zinakozalishwa bei huwa chini sana tofauti na sokoni shida ni usafiri.
 
Umefanya utafiti. Sasa fanya biashara ndio ujue hakika
 
Ni sahihi nafaka inalipa kama wanasiasa hawatavuruga soko.Niliwahi kununua gunia miasaba za mahindi mwaka 2016 lakini wana Siasa wakafunga mipaka yaani hakuna kupeleka mazao nje ya Nchi.Bei ikawa inashuka tu Hadi nikayauza Kwa hasara japo hasara ikawa ndogo sana.
 
Mkuu
Kwenye hizo hesabu zako ume keep constant usafiri.

Bidhaa nyingi sehemu zinakozalishwa bei huwa chini sana tofauti na sokoni shida ni usafiri.

Kwenye hizo hesabu zako ume keep constant usafiri.

Bidhaa nyingi sehemu zinakozalishwa bei huwa chini sana tofauti na sokoni shida ni usafiri.
Mkuu, Mimi namanisha ukiwa na store Yako huko huko kijijini
 
Nina vihenga Sumbawanga vya maguni 1000, Kuna wakati nanunua mahindi mpaka 25,000 kwa gunia, ni biashara nzuri sana, ila wakati wa Magufuli niliyumba kidogo?
Uvumilivu ni nguzo ya mafanikio
 
Back
Top Bottom