biashara ya mtandaoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

biashara ya mtandaoni

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by poposindege, May 26, 2011.

 1. poposindege

  poposindege JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  wadau mambo
  nataka kununua bidhaa mbalimbali toka nje kupitia mitandao,lakini nimesikia ipo mitandao ya kitapeli.Naomba mnielekeze mitandao inayoza vitu vipya na used na iwe ni waaminifu.Si vibaya mkanielekeza namna ya kutuma pesa na kupokea mzigo.Asanteni wadau nasubiri toka kwenu
   
 2. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kutuma pesa, unahitaji kuwa na credit card au paypal (au payment gateway zingine kama google checkout na 2CO) ila upande wa delivery, nijuavyo wao wenye website ndio watakuambia kama wanaweza ku-deliver nchini mwako! Ila kwa bongo delivery system bado ni famba haijawekezewa fresh... Its one of the major things hindering online business activities in tanzania! Zilizopo zipo ghali mno, mzigo wa laki wanaweza ku-deliver kwa 20,000/= kitu ambacho wabongo wengi hawakubali!

  Kuhusu site zilizo trustful, hujawa wazi kua unataka kununua nini!?? Kila product/service unayotaka kununua ina site tofauti... Mfano ukitaka kununua vitabu kuna amazon na wengine, ukitaka kununua electonics there are dozens of sites out there offering price comparison... Wewe tu kua unataka kununu kitu gani haswa!

  Peace!
   
 3. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Online business kwa Tanzania bado ni very poor to worse compare hata na Kenya ambao wako mbali. Most trusted kama unapenda kununua cell phones, PDA`s, Laptops, clothes and all other stuffs za kileo just try eBay | Electronics, Cars, Clothing, Collectibles, and More Online Shopping ,, Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more ,, Best Buy - Computers, Video Games, TVs, Cameras, Appliances, Phones pia na Yahoo Shopping wako poa. Hizi ni baadhi ya sites unaweza ukafanya online shopping though thru Amazon wenyewe obvious ni expensive sana. Ukitaka kununua kitu eBay ni lazima uwe na account ya PayPal. Nlijaribu kufanya hivyo thru my Mastercard ya Exim ila kumbe ilikua issued as Debit card na kama nitataka Card ya kufanya hiyo online shopping ni mpaka nipate Fixed Time A/c ambayo rates zake ni kuanzia 1 milion kwa Exim na kwa banks zingine sijui ni kiasi gani. Hiki ndicho ninachofahamu ila kama kuna mtu ana cha ziada ataongezea.
   
 4. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Online business kwa Tanzania bado ni very poor to worse compare hata na Kenya ambao wako mbali. Most trusted kama unapenda kununua cell phones, PDA`s, Laptops, clothes and all other stuffs za kileo just try eBay - New & used electronics, cars, apparel, collectibles, sporting goods & more at low prices ,, Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more ,, Best Buy - Computers, Video Games, TVs, Cameras, Appliances, Phones pia na Yahoo Shopping wako poa. Hizi ni baadhi ya sites unaweza ukafanya online shopping though thru Amazon wenyewe obvious ni expensive sana. Ukitaka kununua kitu eBay ni lazima uwe na account ya PayPal. Nlijaribu kufanya hivyo thru my Mastercard ya Exim ila kumbe ilikua issued as Debit card na kama nitataka Card ya kufanya hiyo online shopping ni mpaka nipate Fixed Time A/c ambayo rates zake ni kuanzia 1 milion kwa Exim na kwa banks zingine sijui ni kiasi gani. Hiki ndicho ninachofahamu ila kama kuna mtu ana cha ziada ataongezea.
   
Loading...