kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,861
- 3,096
Wadau salami zenu habari za jpili nilikuwa nahitaji msaada kujua maeneo mazuri kwa hapa dar unayoweza kutembeza mtumba wako ukatoka Bei nzuri maana nimezoea sinza sahizi pameshavamiwa,nguo za kiume zile track nauza, maana naona Kama mtaji unataka kukata
Zimebaki 10Zimebaki ngapi ninunue zote ili upate na nauli urudi kwenu mtwara ukalee wajukuu?
Bei gani? Weka picha hapa. Halafu nitumie namba ya simu au lipa namba nikujaze mihelaZimebaki 10
Sure Hawa madogo tuwazoee tuHakuna jambo linaumiza unapitia wakati mgumu kiuchumi halafu unaomba ushauri humu halafu unapewa majibu ya kipumbavu
Hakuna jambo linaumiza unapitia wakati mgumu kiuchumi halafu unaomba ushauri humu halafu unapewa majibu ya kipumbavu
Aisee vichekesho kweli hivi wewe umpe mtu ushauri wakati wewe ni maskini wa kutupwa? Mazalia ya shule ya kata kwakujisifiaNo Free Education.
Toa hela upate elimu.
Sisi tuende shule kwa kulipa mamilioni ya pesa halafu nyie mnataka tuwape ujuzi, maarifa na elimu bure.
Acha dharau we dogo. Unataka nikuoneshe proof ya elimu yangu au mafanikio?Aisee vichekesho kweli hivi wewe umpe mtu ushauri wakati wewe ni maskini wa kutupwa? Mazalia ya shule ya kata kwakujisifia
Huna mafanikio yeyote....nikupe mchongo wa pesa dogo ukiwa tayariAcha dharau we dogo. Unataka nikuoneshe proof ya elimu yangu au mafanikio?
Aisee vichekesho kweli hivi wewe umpe mtu ushauri wakati wewe ni maskini wa kutupwa? Mazalia ya shule ya kata kwak
No Free Education.
Toa hela upate elimu.
Sisi tuende shule kwa kulipa mamilioni ya pesa halafu nyie mnataka tuwape ujuzi, maarifa na elimu bure.
Elimu gani ya motivationNo Free Education.
Toa hela upate elimu.
Sisi tuende shule kwa kulipa mamilioni ya pesa halafu nyie mnataka tuwape ujuzi, maarifa na elimu bure.