biashara ya mitumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mitumba

    Wadau salami zenu habari za jpili nilikuwa nahitaji msaada kujua maeneo mazuri kwa hapa dar unayoweza kutembeza mtumba wako ukatoka Bei nzuri maana nimezoea sinza sahizi pameshavamiwa,nguo za kiume zile track nauza, maana naona Kama mtaji unataka kukata
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mitumba inayopita Bandari ya Dar haina ubora, ni michafu, imechakaa, ni tofauti na ile inayopitia Nairobi, kuna kitu hakipo sawa

    Mi ni mfanyabiashara wa nguo za mtumba, mabelo tunayofungua kipindi hiki ni tofauti sana na miaka ya nyuma hasa kabla ya bandari kubinafsishwa, changamoto ni kuwa kipindi cha nyuma mizigo ilikuwa mizuri haina uchafu (lonya) pia bei zilikuwa zinabebeka. Baada ya mchakato wa mabadiliko ya bandari...
  3. Benews

    JamiiForums Tanzania Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma. Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala...
  4. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

    Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu. Asee niaje? Wazee mpo?? Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mida ya saa tisa usiku mpaka saa kumi na moja ndio mida ya kupata nguo na viatu grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwa wauza mitumba

    Nenda zako hadi Karume pale. Hakikisha saa kumi kasoro inakukuta Karume. Mida hiyo wananafungua mabaloo ya mitumba grade one. Viatu ambavyo utavipata kwenye maduka ya Mwenge na kinondoni kwa shilingi laki moja na nusu, hapo Karume utavipata kwa shilingi elfu 8 hadi 10. Chukua kama pea zako...
Back
Top Bottom