Mtoka Mbali
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 237
- 26
Asante sana ndugu Slave.Kama kazi unayo basi mie nakushauri uachane na biashara yoyote kwa kuwa itafikia sehemu inakulazimu utoroke kazini uende kukagua biashara yako. Pia inaweza kukusababishia kushindwa kufanya kazi ya bosi wako na kujikuta unaelekeza nguvu kubwa ktk mradi wako,bosi wako akigundua changes zozote inaweza kuhatarisha ajira yako.ushauri wangu kwakuwa unahiyo 3m bora uiwekeze ktk kununua viwanja pembeni ya mji au mashamba,ufanye hivyo kwa kila unapopata mshahara wako mpaka utakapo fikia ukomo wa ajira yako na ikitokea ukadumu kwa mwaka 1 au 2 ninaimani utakuwa unamiliki maeneo mengi zaidi,ubora wa kuwekeza ktk mashamba kwanza yanajichunga menyewe 2 kila siku yanaongezeka thamani 3 ni aseti nzuri na haina risk kubwa.
Kama kazi unayo basi mie nakushauri uachane na biashara yoyote kwa kuwa itafikia sehemu inakulazimu utoroke kazini uende kukagua biashara yako. Pia inaweza kukusababishia kushindwa kufanya kazi ya bosi wako na kujikuta unaelekeza nguvu kubwa ktk mradi wako,bosi wako akigundua changes zozote inaweza kuhatarisha ajira yako.ushauri wangu kwakuwa unahiyo 3m bora uiwekeze ktk kununua viwanja pembeni ya mji au mashamba,ufanye hivyo kwa kila unapopata mshahara wako mpaka utakapo fikia ukomo wa ajira yako na ikitokea ukadumu kwa mwaka 1 au 2 ninaimani utakuwa unamiliki maeneo mengi zaidi,ubora wa kuwekeza ktk mashamba kwanza yanajichunga menyewe 2 kila siku yanaongezeka thamani 3 ni aseti nzuri na haina risk kubwa.
Ushauri wako siuungi mkono hata Kidogo, Kuanzisha Biashara Ukiwa Kazini Ndo Njiaa rahisi na isiyo kuwa na Risk kubwa na ni Transision kuelekea Kijiajiri Mwenyewe, Kilichopo ni Mwanzisha Biashara Kujipanga na Kuona Ataendesha Vipi Biashara yake huku akiwa anafanya kazi, Ishu ya Kununua Viwanja ni Ok ila sidhani kama Uko Arusha wewe,
Na nina uhakika wewe ni Mfanya kazi make Mfanya Biashara hawezi kutoa ushauri wa Aina Hii na imefika mahali kwa Mtu anaye penda Kuanzisha Biashara awafuate wafanya Biashara wampe ushauri na si kupewa ushauri wa Mtu ambaye hata Kibanda cha kuchajisha Simu hana, So huwezi pata ushauri wa Maana kutoka kwa Mwajiriwa sanasana utapata ushauri wa kukukatisha tamaa
kwa ufupi tu inabidi mtoa mada aangalie na kuuchambua ushauri wa kila mmoja wetu, tatizo ninalo liona mie ni kwamba hawezi kufanya kazi na biashara kwa wakati mmoja,hapa inaonyesha vyote anavitaka kwa wakati mmoja, naomba ujaribu kupima hapo.kama angesema anataka kuacha kazi ili awd mfanyabiashara hapo ingekuwa sawa kwa kile unachoamini wewe,lakini kama atakuwa na kazi kisha biashara lazima kimoja kitamponyoka wahenga walisema mshika mbili....? Kuhusu mie kumiliki kibanda cha simu,kwa taarifa tu nikwamba hizi biashara pia huwa zina risk yake inapo tokea umefirisika gafla basi aseti hasa ya ardhi inaweza kukurejesha tena barabarani. Mie binafsi najivunia kumiliki ardhi sehemu ambayo niliinunua laki moja miaka miwili iliyopita kwa sasa naweza kuiuza milioni 4 tena kwa kuringa.