Nimekuelewa sana mkuu asante sanaNgoja kuna uzi mpya nikutaftiee.....
japo haujajitosheleza tutahitaji wajuziii...
NOTE : km hujui chochote na hutaki kujua tafadhari usije ukajaza uzi mrefu usio na majibu.. sio uzi wa kupeana like huu....
Ngoja kuna watu niwatag wapo vzr kwenye hili
Siku ya pili sasa mkuuNgoja kuna uzi mpya nikutaftiee.....
japo haujajitosheleza tutahitaji wajuziii...
NOTE : km hujui chochote na hutaki kujua tafadhari usije ukajaza uzi mrefu usio na majibu.. sio uzi wa kupeana like huu....
Ngoja kuna watu niwatag wapo vzr kwenye hili
Poa poa mkuuKuna nyuzi kama 4 hivi za mwaka jana mpya kabisa kuhusiana na biashara Uganda, hebu tafuta utazipata ...watu huona uvivu kuja kila siku kuelezea point zile zile ...tafuta Uzi upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika mpakani badilisha fedha yako maana ukifika Kampala utapunjwa maana hautakuwa na njia nyingine...ukifika Kampala kwa huduma ya mpesa Tanzania au kubadilisha pesa fika Arua Park utawakuta wanatanzania kibaoHabari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule?
..msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili
Ukifika mpakani badilisha fedha yako maana ukifika Kampala utapunjwa maana hautakuwa na njia nyingine...ukifika Kampala kwa huduma ya mpesa Tanzania au kubadilisha pesa fika Arua Park utawakuta wanatanzania kibao
Habari , naomba ufafanuzi juu ya kufata biashara Uganda ,Mimi naenda kesho ,pia nahitaj kujua boda ya mtukula ipo wazi au ? Na pia nivizuri nitoke nmechange pesa huku tz au nikachange kulekule?
..msaada.na ninatamani kupata rafik anayejua kiswahili
Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...leo-niliyoyapata-kupitia-jamiiforums.1275078/Money Stunna plz naomba namba