mrackkiramadhani
Member
- Apr 28, 2019
- 50
- 105
- Thread starter
- #21
Nauza imotion, samsung ,sandisk na ambazo brand yake si maarufu, mm mara nying naangalia functionality japo kweli brand ina matter lakin kumbuka ata fake zipo zinazotumia brand names zinazoaminika mtaan, najuu ya bei za 7000 kwa 32gb kwang ni kaona niekeze kuanzia 128gb kwan naelewa tatizo ni bei za 128gb kua ghari ndo maana mtaani unaona hazi trendy kwan unajua kua uchum wa mtu mmoja si rafiki mtu kutoa 28- 30 kwa ajili ya flash..Si kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika