Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

Mkuu nimependa hii biashara yako je naweza fanya mawasiliano nikija Mbeya nikutafute tufanye biashara kwa sasa nipo Tabora.
 
Nimenunua 2T juzi mtandaoni... Hadi sasa nimeshapigwa... Uwezo wake siyo 2T... Kwa sababu inapokea vitu.. Lakini ukifungua vinakataa kuonekana... Vinaonekana empty...

Inasikitisha... Na nililipia hiyohiyo 33,000/-
Yaa naelewa changamoto za izi mambo mfano uku mbeya zipo memory na flash 128gb inauzwa 2500/= bei ya jumla ila ndo izo sasa watu wanalalamika mim nitatoa offer kwa wote ambao wataitaji kufanya biasha, nitawapa samples mchek ili muuamin then tuone tunasongeshaje gurudum la maisha ila trust me everything ya nlichoandika kipo reality and genuine 100%
 
Ni kweli usemalo mzee but suppliers selection it's not the same na kingine price ni one of competition technique kwenye soko ivo usione kisa bei ipo chini ukais mm nitapeli au nauza mzigo fake just jua dunia kubwa hii kiongozi wangu na pengine ukashangaa mm ndo nikawa suppliers wako just try kuchukua mzigo then ukiona magumashi urudi jf uwambie kua mm nitapeli coz naelewa nin nafanya kiongoz wang so km nlivosema unachofanya ww ni kua curious juu ya bei which is good to goodthinker like you
We jamaa uko very humble Mkuu bigup sana
 
Nipo Simiyu, nitakupataje!?
Km unae ndugu dar itapendeza zaid kwakua bd haujajua how genuine product zilivo ila hakuna kinachoshindikana , nenda kwenye kampuni ya gari ambayo utaitaji nikutumie mzigo (hakikisha unaenda official office zao ) ili wao wawe km wadhamin wetu mpk pale utapoko ona huduma ni ya uhakika then tutaa endelea kufanya biashara, na km unayo njia nyengine nzuri just share tuone tunafanikishaje biashara..
For more info:
0757-103810
0735-103810
0622-943394
0677-943394
 
Si kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika
There you are mkuu, umetoa bonge la point kuhusu brand.
 
Hata uchina huwezi kupata Kwa bei hiyo Mkuu,hii ndio biashara yangu huwa naagiza kila mwez sio chini ya pcs 5000,hiyo ya GB 128 original kabisa yenye uwezo huo Kwa China ni 11000-13000 hujaweka usafir, faida Na Kodi
Mimi mwenyew nimepigiwa na mshangao, hata kama tusiaribiane biashara lakini kwa hizi bei mmmmmh!!!!! kila la kheri
 
Back
Top Bottom