INAUZWA Biashara ya mchele kutoka Morogoro

pmama

Member
May 8, 2021
42
24
Ninauza mchele super 1500Tshs kwa kilo. Nakusafirisha mzigo kuanzia kg100 kwa wateja wa Dar es Salaam utapokea mzigo wako Mbezi. Pia, kwa wanaohitaji kununua mchele/mpunga kwasasa kwaajili ya uwekezaji, nipe oda.
UPDATES
Jipatie mchele super unaochambuka vizuri kwa 1700Tshs@ 1kg.
Ndani ya Dar es salaam unaletewa mzigo wako mlangoni.

Karibuni

IMG-20210628-WA0003.jpg
 
Mimi mchele sihitaji ila nakupongeza kwa uandishi mzuri, ongeza na picha kuvutia wateja.
 
Niko Morogoro mjini nahitaji kilo100, nipe bei
Kama nilivyoainisha kwenye thread boss,
150,000Tshs.mzigo unakufikia ,hapo gharama ya nauli nakutolea.mchele ni mbawa mbili,kama uko morogoro nadhani unaufahamu
 
Ninauza mchele super 1500Tshs kwa kilo. Nakusafirisha mzigo kuanzia kg100 kwa wateja wa Dar es Salaam utapokea mzigo wako Mbezi. Pia, kwa wanaohitaji kununua mchele/mpunga kwasasa kwaajili ya uwekezaji, nipe oda yako.

Gunia 1 la 100 kg za mchele super nauza 1200Tshs. Mahali kwa kufuata mzigo ni mashineni Mbingu-Tandika.
Maelezo mengine kwa kifupi kuhusu Kilombero-Mbingu:
Mahali : Panafikika kirahisi kwa usafiri wa treni / gari za kawaida.
Usafiri/gari za mizigo: Zipo za kutosha .
Malazi : Nyumba za wageni bei ni 4000 - 6000Tshs per day.
Mchele grade 2 : Upo wa kutosha bei kuanzia 1000Tshs.
Bei ya chenga : 500Tshs/kg

Karibuni & Ahsante

Maswali yatajibiwa accordingly.
Kilo 25 huuzi? Si kila mmoja wetu hapa atakuwa na uhitaji wa kilo mia kwa matumizi ya nyumbani
USHAURI:
Fungasha kilo 10, 10 utatuokota wengi sana
 
Niliwahi kutumiwa 'magunia' matatu ya mchele kwa reli ya Tazara. Treni imefika tangu saa 12 asubuhi niko natafuta mzigo siuoni. Mawazo yangu yalikuwa kuwa gunia la mchele la kg 100 litakuwa kubwa kama gunia la mahindi! Kumbe ni ka kiroba kadogo tu!
Nilifanikiwa kuyaona baada ya kuona jina langu kwenye kafurushi kadogo hivi. Nilishangaa sana.
 
Na likawa na kg 100 ulipolipima?
 
Hapo panatakiwa kumaanisha hivyo hivyo au panahitaji marekebisho?
 
Niliwahi kutumiwa 'magunia' matatu ya mchele kwa reli ya Tazara. Treni imefika tangu saa 12 asubuhi niko natafuta mzigo siuoni. Mawazo yangu yalikuwa kuwa gunia la mchele la kg 100 litakuwa kubwa kama gunia la mahindi! Kumbe ni ka kiroba kadogo tu!
Nilifanikiwa kuyaona baada ya kuona jina langu kwenye kafurushi kadogo hivi. Nilishangaa sana.
Ulilipima kuthibitisha?
 
Kilo 25 huuzi? Si kila mmoja wetu hapa atakuwa na uhitaji wa kilo mia kwa matumizi ya nyumbani
USHAURI:
Fungasha kilo 10, 10 utatuokota wengi sana
Hii inawezekana mkuu ,ikiwa tu nauli italipwa na muhusika.Nilichagua 100kg ili iwe rahisi kwenye ulipaji ushuru na usafirishaji kutokea shambani.Maana bado nipo kwenye zoezi la ukusanyaji.

Asante kwa ushauri kaka mkubwa
 
Back
Top Bottom