Biashara ya mchele Dar

chapanga01

Senior Member
Apr 10, 2020
102
225
Habari wana jamvi.

Kifupi mimi ninaelimu ya chuo kikuu nilimaliza 2013, Ila kiuhalisia mimi sipendi kuajiriwa pia sipendi kupangiwa napenda kujiajiri.

Mwaka 2014 nilikuwa nimeajiriwa kampuni flani hapa Dar nilifanya hadi mwaka 2015 nikaachishwa kazi kwa vile Bosi alinishtukia kwamba napiga dili namuibia tenda zake kisha nafanya bifasi.

Ila kipindi ananifukuza nilikuwa na 5m nikarudi nyumbani nikawa nanunua mpunga na kukoboa nauza mchele wazo langu nifungue duka la nafaka Dar.

Mzigo wa mwisho niliponunua nikaweke godown, Nisubiri muda nije kuukoboa nibebe mchele nilete kwenye flame ambayo ningepanga Dar

Ila kabla sijafungua ule mzigo pale mashineni ukauzwa na msimamizi wa mashine na akatoroka.

Hapo ndio plan yangu ikafa maana Bosi wa mashine akawa ananilipa kidogokidogo ambayo pesa ikawa haitunziki.

Nikarudi tena kwenye ajira hadi sasa ila mpango wangu bado upo vilevile sasa nafanya kazi pia nalima mwisho nifungue duka langu la mchele.

Shida yangu je naweza pata mtu mzoefu wa biashara ya mchele humu ili anifundishe mambo yanayonisumbua kichwani mwangu.
 
October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,694
2,000
Daah aisee ulimfanyia vibaya sana Boss wako kugeuza tenda zake na kuzifanya binafsi...kampuni zina Hustle kutafuta tenda.
 
chapanga01

Senior Member
Apr 10, 2020
102
225
Tenda natafuta mimi kwavile ndio nilikuwa afisa masoko yeye atanataka bei kubwa watu wakikataa mimi nawafuata wananipa hela ya materials nikawa napiga kazi hivyo unavyopaswa kuishi na wahindi
Daah aisee ulimfanyia vibaya sana Boss wako kugeuza tenda zake na kuzifanya binafsi...kampuni zina Hustle kutafuta tenda.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
5,844
2,000
Habari wana jamvi.

Kifupi mimi ninaelimu ya chuo kikuu nilimaliza 2013, Ila kiuhalisia mimi sipendi kuajiriwa pia sipendi kupangiwa napenda kujiajiri.

Mwaka 2014 nilikuwa nimeajiriwa kampuni flani hapa Dar nilifanya hadi mwaka 2015 nikaachishwa kazi kwa vile Bosi alinishtukia kwamba napiga dili namuibia tenda zake kisha nafanya bifasi.

Ila kipindi ananifukuza nilikuwa na 5m nikarudi nyumbani nikawa nanunua mpunga na kukoboa nauza mchele wazo langu nifungue duka la nafaka Dar.

Mzigo wa mwisho niliponunua nikaweke godown, Nisubiri muda nije kuukoboa nibebe mchele nilete kwenye flame ambayo ningepanga Dar

Ila kabla sijafungua ule mzigo pale mashineni ukauzwa na msimamizi wa mashine na akatoroka.

Hapo ndio plan yangu ikafa maana Bosi wa mashine akawa ananilipa kidogokidogo ambayo pesa ikawa haitunziki.

Nikarudi tena kwenye ajira hadi sasa ila mpango wangu bado upo vilevile sasa nafanya kazi pia nalima mwisho nifungue duka langu la mchele.

Shida yangu je naweza pata mtu mzoefu wa biashara ya mchele humu ili anifundishe mambo yanayonisumbua kichwani mwangu.
Biashara ya mchele ni biashara nzuri kama zingine na inalipa kama itafanywa kwa umakini. Mimi nimeshaifanya na nina uzoefu kwa kiasi chake.

Kwakuanza tu nikushauri usiwe unapenda kununua mpunga. Hapo ni kucheza kamari na hela ya mtaji. Kuna muda wakulima hupanda mbegu tofauti na hizi hutoa aina tofauti ya mchele so hata ukikoboa utaona haupo kwenye standard.

Pia kuna wakulima huwa wanakushanya mipunga ya misimu tofauti na kuichanganya na mpya hii itakuharibia quality ya mchele pia.

Ila pia kuna muda mpunga unatoa mchele ambao si mzuri na wa grade mbaya kutokana na kuhifadhiwa vibaya au sababu ya juu hapo ya kuchanganya mbegu ambayo itakulazimu uuze bei ya hasara na kubembeleza sokoni ukizingatia kwa sasa mchele mzuri upo mwingi sio kama miaka mitano nyuma wakati maisha hayajawa magumu na kila mtu kukimbilia kulima mchele.

Mchele unatakiwa ununue ukiwa umekobolewa ila kwa bei nzuri. Na wakati wakuupaki hakikisha unakuwapo unavyomiminwa katika kila kiroba ili kuepusha kuchanganyiwa mchele.

Sikushauri kulima ingawa inawezekana ila kulima ni shughuli nyingine ambayo itakutaka uwepo eneo la tukio muda mwingi kusimamia mpunga hadi unavunwa..... So kimsingi ni kazi ambayo kama hauna utayari nayo itakugharimu pesa na pia tukiongezea maswala kama usimamizi mbovu wa shamba na udokozi wa pembejeo kama mbolea then itakugharimu.

Pia swala la kulima linagharimu sana upande wa muda especially kwa mtu ambaye unataka kupata mpunga kwa lengo la kuuza upate faida. Why uhangaike sasa?! Imagine unaanza kulima hadi kuja kuvuna ni zaidi ya miezi 4 sasa ungekuwa unafanya uchuuzi na kuuza ndani ya miezi hiyo minne utakuwa umeshafanya mambo mangapi....?!

Okay hapo ni fujo za shambani, maswala ya gharama za kupaki na kusafirisha nakuachia ufuatilie wewe mwenyewe kutokana na eneo lako la utakapoamua kuchukua mchele maana mchele unalimwa mikoa zaidi ya m'moja kwa sasa.

Mchele ukishafika mjini unakuwa umemaliza jukumu la unauzikakuleta bidhaa sokoni, unaanza jukumu la pili kuhakikisha na kurejesha mtaji plus faida.

Kwasasa hali ya soko ilivyo picha yake ni kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wajaribishamali ambao wanaingia katika bishara kutest mitambo na kuona kama watapata faida ya haraka na kubwa. Style ni ile ile kama ya walima vitunguu, matikiti maji na mananasi.

Kwasasa soko lina mchele mwingi na grade tofauti ila nzuri na bei zimeshuka sana..... Kuna mchele hadi wa 800 ukitaka unapatikana. Hii imetokana na ongezeko la wakulima wa mchele maeneo tofauti na mikoa tofauti... Lakini pia ongezeko hili ni kutokana na mipakani huko kupungua kwa usafirishaji wa bidhaa hii kwenda nchi jirani....hivyo basi kwa picha hiyo it means targeted market kwasasa ni soko la ndani especially miji mikubwa kama Dar, Arusha, Moshi, zanzibar, etc.

Changamoto utayoweza kutana nayo kwasasa ni bei nzuri ya kuuza, ingawa hii inasolvika kama utanunua mchele kwa bei ya chini na nafuu......

Pili ni wapi pa kupata wateja ambapo mzigo wako utatoka haraka ili uweze kurejea shamba kufuata mzigo mpya.

Tatu ni kiasi gani unaweza kusukuma na ndani ya wakati gani kulingana na speed ya manunuzi ya wateja. Kwa mfano unaweza weka tani zako mbili location fulani lakini kutokana na mbinu zako ukajikuta unakaa nazo miezi hata minne ila kuna mwenzako anakuja na tani kumi anasukuma ndani ya wiki na anarudi anakukuta bado haujauza hata robo ya mzigo. So ni vema kujua uwezo wako katika kuuza.

Nne jua wateja wako wapi na utawauzia kwa style ipi. Unaweza kuja na mbwembwe zitazokupa gharama za ziada mara sijui packaging mara branding ila wateja wanataka mchele mzuri kwa gharama nzuri.

Bei ndio uchawi, kumbuka mchele ni bidhaa ambayo ni homogeneous in nature so wateja hawashtushwi na quality wapo sensitive na bei yako.... Sasa hapo ni wewe ujue utawapiga vipi hiyo bei.

Baada ya kusema haya machache ninayoyakumbuka then nakuachia uendelee na homework sababu najua ndio unajipanga.
 
Aug 11, 2015
10
45

safi sana mependa maelezo yako, kwa kuongezea mpunga huwa ni risk kubwa kununua na kukoboa kwasababu kama kutopata maji ya kutosha hushusha uzito wa mchele, kukauka kupita kiasi ukishafyekwa, kutokuanika wakat wa ukoboaji au kuzidisha kuanika.
 
Anko Kong

Senior Member
Jul 3, 2020
113
225
Habari wana jamvi.

Kifupi mimi ninaelimu ya chuo kikuu nilimaliza 2013, Ila kiuhalisia mimi sipendi kuajiriwa pia sipendi kupangiwa napenda kujiajiri.

Mwaka 2014 nilikuwa nimeajiriwa kampuni flani hapa Dar nilifanya hadi mwaka 2015 nikaachishwa kazi kwa vile Bosi alinishtukia kwamba napiga dili namuibia tenda zake kisha nafanya bifasi.

Ila kipindi ananifukuza nilikuwa na 5m nikarudi nyumbani nikawa nanunua mpunga na kukoboa nauza mchele wazo langu nifungue duka la nafaka Dar.

Mzigo wa mwisho niliponunua nikaweke godown, Nisubiri muda nije kuukoboa nibebe mchele nilete kwenye flame ambayo ningepanga Dar

Ila kabla sijafungua ule mzigo pale mashineni ukauzwa na msimamizi wa mashine na akatoroka.

Hapo ndio plan yangu ikafa maana Bosi wa mashine akawa ananilipa kidogokidogo ambayo pesa ikawa haitunziki.

Nikarudi tena kwenye ajira hadi sasa ila mpango wangu bado upo vilevile sasa nafanya kazi pia nalima mwisho nifungue duka langu la mchele.

Shida yangu je naweza pata mtu mzoefu wa biashara ya mchele humu ili anifundishe mambo yanayonisumbua kichwani mwangu.
Kama unataka tufanye partnership njoo pm mm nnsstoo ya mpunga nipo mwanza
 
dasa1

Member
Oct 9, 2019
14

dah kweli mali ya uwizi uwa haidumu..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom