Inahitaji mtaji kiasi gani?Mbao gani? Elezea biashara ya mbao ni za miti ipi? Miti ya kupandwa au miti ya asili? Kama miti ya kupandwa kama jamii ya mi paina hii ni kazi nzuri na ina faida kwa sasa ili mradi ujitafutie masoko ya uhakika ya mbao. Miti hii baadhi ya sehemu imeshuka bei na inalipa kweli kweli tofauti na ilivyokuwa kipindi cha hapo nyuma.
Inategemea unataka kufanya biashara ipi kati ya hizi: 1. Kununua miti na kupasua na kuuzia huku huku mashambani 2. Kununua miti kupasua na kusafirisha kwenye masoko ya mbali i mean mijini. Au kununua mbao na kuzisafirisha mijini. Unataka ipi kati ya hizo?inahitaji mtaji kiasi gani?
True.Biashara ya mbao inalipa sana brother anamiliki hotel mbili kubwa hapa mjini kwa biashara hyo huwa haidanganyi
2 au 3Inategemea unataka kufanya biashara ipi kati ya hizi: 1. Kununua miti na kupasua na kuuzia huku huku mashambani 2. Kununua miti kupasua na kusafirisha kwenye masoko ya mbali i mean mijini. Au kununua mbao na kuzisafirisha mijini. Unataka ipi kati ya hizo?
Ok, fanya utafiti kwa kutafuta wanunuzi wa mbao na bei zao, pia nijurishe unategemea kuuzia miji gani nami nikupe bei za mbao na tukadirie nauli kutoka huku mpaka huko. Hii biashara inalipa balaa!2 au 3
Asante sana mkuu , nikimaliza tafiti nitakujurishaOk, fanya utafiti kwa kutafuta wanunuzi wa mbao na bei zao, pia nijurishe unategemea kuuzia miji gani nami nikupe bei za mbao na tukadirie nauli kutoka huku mpaka huko. Hii biashara inalipa balaa!
mkuu huku dsm mbao mlingoti mwekundu elfu 12, mweupe 10000 na pines elfu nane vp huko shamba nipe beiOk, fanya utafiti kwa kutafuta wanunuzi wa mbao na bei zao, pia nijurishe unategemea kuuzia miji gani nami nikupe bei za mbao na tukadirie nauli kutoka huku mpaka huko. Hii biashara inalipa balaa!
Vipi boriti za Mti poli wanauzaje huko?mkuu huku dsm mbao mlingoti mwekundu elfu 12, mweupe 10000 na pines elfu nane vp huko shamba nipe bei
Acha nikupe bei ya pines mlingoti ntakupa kesho nikisha thibitisha taarifa za uhakika. Ubaya wewe hujaweka mbao kwa vipimo. Mm ntaanzia mbao ndogo kuja kubwa kwa pines: 1*4*12= tshs 900. 2*3*12=tshs 1500. 1*6*12= tshs2000. 2*4*12=tshs2500. 2*6*12= tshs3800. 1*8*12=tshs4600. 1*10*12=tshs9000. Zingatia hiyo star imetumika kama mara, yaani mfano inch 1 mara 4 mara futi 12. Nadhani umenielewa.mkuu huku dsm mbao mlingoti mwekundu elfu 12, mweupe 10000 na pines elfu nane vp huko shamba nipe bei
Acha nikupe bei ya pines mlingoti ntakupa kesho nikisha thibitisha taarifa za uhakika. Ubaya wewe hujaweka mbao kwa vipimo. Mm ntaanzia mbao ndogo kuja kubwa kwa pines: 1*4*12= tshs 900. 2*3*12=tshs 1500. 1*6*12= tshs2000. 2*4*12=tshs2500. 2*6*12= tshs3800. 1*8*12=tshs4600. 1*10*12=tshs9000. Zingatia hiyo star imetumika kama mara, yaani mfano inch 1 mara 4 mara futi 12. Nadhani umenielewa.Asante sana mkuu , nikimaliza tafiti nitakujurisha