Wanajamii naomba ushauri wa biashara ya matairi yaliotumika kutoka ulaya yaani used ni bei gani kwa Tanzania kwani kwa mwenye kujua wenzetu watu wa Afrika magharibi wao wanaingiza kwao sijui kwa kwetu ni vipi kwa mwenye ufahamu naomba anipe bei na size ya tairi ili tuweze kuexport kwani uwezo wa kuyapata upo ila market sijui Tanzania wanaunua .