BIASHARA YA MASHINE YA KUKOBOA NA KUSAGA NAFAKA

Mnyaru98

Member
Jun 14, 2023
9
4
Habari ya JF, Naomba kufahamu jinsi ya kuanzisha mradi wa mashine za kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi na mpunga . Aina za mashine , changamoto na utaratibu upoje ili niweze kuchukua hatua

Nawasirisha shukrani zangu kwenu wana JF
 
Sidhani kama ni biashara nzuri hasa kama unaishi mjini. Nilimuanzishia ndugu yangu kwa mashine mbili za kusaga, mbili za kukoboa na moja ya kuchekecha zote za umeme, biashara ikaanguka kutokana na soko dogo. Nikamshauri aingie kwenye kuuza sembe, yaani anunue nafaka, azisage na kufunga kwenye mifuko lakini pia ushindani ulikuwa mkubwa kiwanda kikafungwa.

Inawezekana mtu mwenyewe ndiye hakuwa najua kuichangamkia biashara hiyo lakini impression yangu haikuwa nzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom