K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 14, 2023 #1 Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.? Lakini pia ✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha? ✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja? Karibuni kuchangia wakuu.
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.? Lakini pia ✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha? ✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja? Karibuni kuchangia wakuu.
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 14, 2023 Thread starter #2 Karibuni
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 Aug 15, 2023 #3 Sijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #4 Sir Midabwada said: Sijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao Click to expand... Asante mkuu nawapataje Hawa distributor wao
Sir Midabwada said: Sijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao Click to expand... Asante mkuu nawapataje Hawa distributor wao
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #5 Sir Midabwada said: Sijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao Click to expand... Asante mkuu nawapataje distributors wao????
Sir Midabwada said: Sijui kwa komoro ila kwa bongo utafte waganga use distributor wao Click to expand... Asante mkuu nawapataje distributors wao????
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #6 Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.? Lakini pia ✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha? ✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja? Karibuni kuchangia.
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.? Lakini pia ✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha? ✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja? Karibuni kuchangia.
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 4,045 Reaction score 9,629 Aug 15, 2023 #7 nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 Aug 15, 2023 #8 Kwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #9 Babu Njunju said: nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi Click to expand... Daaah karibu mdau Kuna mwengine alikuwa anataka kilo 400 humu alipost pia
Babu Njunju said: nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi Click to expand... Daaah karibu mdau Kuna mwengine alikuwa anataka kilo 400 humu alipost pia
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #10 Babu Njunju said: nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi Click to expand... Yanahela Sana haya madude kwa nje
Babu Njunju said: nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi Click to expand... Yanahela Sana haya madude kwa nje
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #11 EINSTEIN112 said: Kwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection Click to expand... Asante kwa ushauri
EINSTEIN112 said: Kwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection Click to expand... Asante kwa ushauri
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #12 EINSTEIN112 said: Kwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection Click to expand... Wanauzia kwa ndani au kwa nje, maana nikipitaga kwa nje naangaliga sijabahatisha kuwaona..
EINSTEIN112 said: Kwani pale feri si wanauza? Ungefika pale upate connection Click to expand... Wanauzia kwa ndani au kwa nje, maana nikipitaga kwa nje naangaliga sijabahatisha kuwaona..
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 Aug 15, 2023 #13 Kilanga komo said: Wanauzia kwa ndani au kwa nje, maana nikipitaga kwa nje naangaliga sijabahatisha kuwaona.. Click to expand... Kwenye soko kama unaingia wanapokaanga samaki
Kilanga komo said: Wanauzia kwa ndani au kwa nje, maana nikipitaga kwa nje naangaliga sijabahatisha kuwaona.. Click to expand... Kwenye soko kama unaingia wanapokaanga samaki
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 15, 2023 Thread starter #14 EINSTEIN112 said: Kwenye soko kama unaingia wanapokaanga samaki Click to expand... Shukrani
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 16, 2023 Thread starter #15 Nimefanikiwa kufika hiyo sehemu ya soko ila Bei Ndo changamoto EINSTEIN112
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 16, 2023 Thread starter #16 Babu Njunju said: nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi Click to expand... Unataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapata
Babu Njunju said: nami naweka kambi. kuna mdau Voila aliwahi kuweka post naye alikua kuna mzungu nje alikua anataka mzigo wa kutosha awe anamtumia kila mwezi Click to expand... Unataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapata
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 4,045 Reaction score 9,629 Aug 17, 2023 #17 Kilanga komo said: Unataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapata Click to expand... yote mkuu
Kilanga komo said: Unataka kujua Nini Kati ya hayo hapo juu kibali au soko nikujuze niliyoyapata Click to expand... yote mkuu
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 17, 2023 Thread starter #18 Babu Njunju said: yote mkuu Click to expand... Sawa
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 Aug 17, 2023 #19 Kilanga komo said: Nimefanikiwa kufika hiyo sehemu ya soko ila Bei Ndo changamoto EINSTEIN112 Click to expand... Pole ila hawajakupa connection ya wanapouzia wao, bei lazima wakulalie maana na wao walanguzi
Kilanga komo said: Nimefanikiwa kufika hiyo sehemu ya soko ila Bei Ndo changamoto EINSTEIN112 Click to expand... Pole ila hawajakupa connection ya wanapouzia wao, bei lazima wakulalie maana na wao walanguzi
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 17, 2023 Thread starter #20 EINSTEIN112 said: Pole ila hawajakupa connection ya wanapouzia wao, bei lazima wakulalie maana na wao walanguzi Click to expand... Ni kweli
EINSTEIN112 said: Pole ila hawajakupa connection ya wanapouzia wao, bei lazima wakulalie maana na wao walanguzi Click to expand... Ni kweli