Biashara ya mahindi na choroko

Biashara ya mahindi na choroko

Sefu jafary

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
382
Reaction score
258
Nipo mikoani naitaji kufanya biashara ya mahindi pamoja na choroko.
Kwa ambao mupo mjini na mnahitaji mzigo tuwasiliane tafadhali.
Mahindi nauza kwa gunia na choroko kwa kilo.
Bei ni maelewano,kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane.
Note:
Siitaji utani kwenye biashara kama sio tajiri na huna connection yoyote nyamaza sio lazima utoe comment.
 
Back
Top Bottom