Hassan samaras
Member
- Jun 9, 2017
- 17
- 3
Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa,
Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1?
Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1?
Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.