Biashara ya madini dhahabu huko rukwa!!

Biashara ya madini dhahabu huko rukwa!!

Naitwa Nani

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
29
Reaction score
2
Wadau samahani naomba mnijuze kwa wenye ufahamu?
Katika Mkoa wa Rukwa kuna machimbo madogo ya dhahabu na nasikia biashara ya dhahabu inalipa huko?
Je mtaji inaweza ikawa kiasi gani na soko lake likoje????
 
Back
Top Bottom