habari wanajumuiya,
ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi?
natanguliza shukrani
Unataka kunikumbusha nimenunua umeme Jana kwa Tigo pesa wa Tsh 50000 sjapata token ! Cha ajabu walichanga wapangaji ! Duu sijui itakuwaje ! Mmmh