L Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 36 Reaction score 54 Apr 27, 2024 #1 Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,599 Reaction score 6,127 Apr 27, 2024 #2 Bila shaka rate ya watu kufanya uzinifu kwa maeneo hayo siyo mbaya, kwahiyo nakushauri wewe lianzishe tu 🤒😎
Bila shaka rate ya watu kufanya uzinifu kwa maeneo hayo siyo mbaya, kwahiyo nakushauri wewe lianzishe tu 🤒😎
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,941 Reaction score 22,245 Apr 27, 2024 #3 KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Apr 27, 2024 #4 Ngurukia said: KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu. Click to expand... Na uzuri jina litaitwa LODGE badala ya GUEST HOUSE
Ngurukia said: KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu. Click to expand... Na uzuri jina litaitwa LODGE badala ya GUEST HOUSE