Mashine za kusaga karanga nyingi sana.Nahitaji kupata muongozo kutoka kwenu wakuu kuanzia upatikanaji wa mashine, raw materials, packaging na ushauri
Ni biashara nzuri, ila karanga inahitaji ununue stock kipindi cha mavuno ndipo utaona faida. Machine zipo ila mimi nilinunua mashine moja iko kama machine ndo ya kusaga mahindi, ni made in china inasaga kiasi cha kilo 100 wa saa.Nahitaji kupata muongozo kutoka kwenu wakuu kuanzia upatikanaji wa mashine, raw materials, packaging na ushauri.
Ni biashara nzuri, ila karanga inahitaji ununue stock kipindi cha mavuno ndipo utaona faida. Machine zipo ila mimi nilinunua mashine moja iko kama machine ndo ya kusaga mahindi, ni made in china inasaga kiasi cha kilo 100 wa saa.
Na nilitengeneza peanut ya asali, ya kawaida, na ya chocolate flavor. Pia nilifanya branding
Milion moja na laki 4 ina kinu na motor ya njeMashine ulinunua Tsh. Ngap?
Ahsante mkuuNi biashara nzuri, ila karanga inahitaji ununue stock kipindi cha mavuno ndipo utaona faida. Machine zipo ila mimi nilinunua mashine moja iko kama machine ndo ya kusaga mahindi, ni made in china inasaga kiasi cha kilo 100 wa saa.
Na nilitengeneza peanut ya asali, ya kawaida, na ya chocolate flavor. Pia nilifanya branding
Mkuu bado unaendelea na hii biasharaNi biashara nzuri, ila karanga inahitaji ununue stock kipindi cha mavuno ndipo utaona faida. Machine zipo ila mimi nilinunua mashine moja iko kama machine ndo ya kusaga mahindi, ni made in china inasaga kiasi cha kilo 100 wa saa.
Na nilitengeneza peanut ya asali, ya kawaida, na ya chocolate flavor. Pia nilifanya branding
Hapana mkuu nilimwachia niliyekuwa nafanya naye aendelee nayo mimi nilijitoaMkuu bado unaendelea na hii biashara
Hapana mkuu nilimwachia niliyekuwa nafanya naye aendelee nayo mimi
Mashine zinapatikana wapiHapana mkuu nilimwachia niliyekuwa nafanya naye aendelee nayo mimi nilijitoa
Hiyo machine niliinunua posta duka liko karibu na clocker tower wanauza vifaa vya kilimo. Jina silikumbuki mkuuMashine zinapatikana wapi
Asante mkuuHiyo machine niliinunua posta duka liko karibu na clocker tower wanauza vifaa vya kilimo. Jina silikumbuki mkuu