Biashara ya 'Kuuza Chenchi' Yashamiri Dar


Mfanyabiashara ya kuuza chenji akipanga sarafu hizo kando ya kituo cha daladala cha Akiba, Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Dar es Salaam leo kulingana na mahitaji ya wateja wake ambao wengi wao ni makondakta wa mabasi hayo. Kitengo cha Sarafu cha Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilishapiga marufuku biashara hiyo kwa madai kuwa ni kinyume cha sheria.
 
Sio Dar na Arusha pekee hata Mwanza pia inashamiri kwa kasi ya ajabu, karibu kila kituo cha daladala kuna wauzaji!

Wakuu hivi faida yake inapatikanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…