unauza chenchi?
Uko pande zipi mkulu?Ndallo kumbe upo Arusha? umepotea sana tuonane
kuna mwingine anapita mitaani kule sinza anatangaza kuwa ananunua noti na sarafu zilizochakaa...hizo ndio ajira milioni moja za JK..tulieni tu mtasikia utamu mpaka mwisho
Oka - Mimi niko pande za Bwawa la Mavi Mkulu!Unga Limited
View attachment 193431
hii nayo ni miongoni mwa zile ajira?