Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

Biashara za usafirishaji ni ngumu inatake time mpaka kuja kuzielewa mfano aina gan nzuri horse za kununua kulingana na root unazoruka aina gan za trailer za kununua je dereva wako sio mtundu(wizi) af Bado competition ni kali sana Mzee

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
Ni changamoto za kawaida Sana hizo.. zisikutoe kwenye dreams za kumiliki malori. Kaka
 
Mkuu
1.vp kupiga chuwa
2.vp kuhusu mnyonyo...kidebe?
3. Upetevu halali wa mafuta njiani?
Viko very controllable .... Drivers wanaojitambua wako wengi pia , wanajua kwanini kapata kazi na Nini afanye kwenye kazi
 
FB_IMG_1711109339238.jpg
 
Mkuu hongera uko vizuri sana
Huu uzi ninaufanyia kazi kwa muda sasa,ninatafiti kipengele kimoja baada ya kingine japo gharama zinapanda kwasababu ya upatikanaji wa Dola bado ni biashara nzuri sana na nitawekeza nikimaliza utafiti wangu.
 
Habari maswahiba, sio jambo baya tukipeana mawili matatu kwenye fursa na ujuzi wa biashara ili endapo mmmoja wetu atahitaji kufanya biashara hiyo awe na mwanga kidogo.
twende moja kwa moja kwenye mada husika.

Hii ni biashara ninayofanya na inalipa vizuri, na ukiwa unatafuta fursa kwenye Tanzania's Petroleum Industry basi hii ni chaguo lako itakufaa. Kitu kizuri ni kuwa huna haja ya kuhifadhi products kwa ajili ya marketing, ni kuchuukua from depot you suppy to retailers on demand, cash your money and smile to the bank.

FAIDA YA BIASHARA YA PETROL PRODUCTS SUPPLY.
Mahesabu huwaga ni per litre per tuck, ni kwamba.. Tuchukulie Dar es salaam to Mtwara ila bei inatofautiana inategemea na wapi unasambaza, lakini depots today ni 150 per litre, watakulipa Tzs 150 kwa litre 1 kusafirisha kutoka Dar es salaam to Mtwara. na kama utabeba 20,000 litres kwenye lori lako utakuwa una

150 x 20,000 = 3,000,000 Tzs.
ukitoa gharama zote faida ni 2,200,000.
hii ni kwa single trip na endapo ukipata trip 5 kwa mwezi
you earn 2,200,000 x 5 = 11,000,000 Tzs.
Mara nyingi mtaji unarudi ndani ya mwaka 1 hadi 2.

Swala la Tender za mafuta kwa hapa nchini.
Matumizi ya mafuta ya petroleum yanazidi kupanda kila baada ya siku, Na tender zipo nyingi tu hapa nchini kwa mfano mdogo.. Tanzania Kuna makampuni makubwa ya mafuta kama Oilcom, Kbfuel, Afroil, Total, Camel oil, Puma na vingine kibao pamoja na ma clients wao. Tatizo ni kuwa they have minimal trucks to transport petroleum products and satisfy all there stations kwa nchini na nje ya Tanzania na kusapply kwa clients wao hivyo they come out a head, and they pull out people with their own trucks to helps them distribute products .

VITU VYA KUANZIA KWENYE BIASHARA HII.
1).Tafuta Tanker.
Horse ina cost pound 7,000-10,000 = 27 mil + tra tax 23 = 50mil.
Tank atleast usd 10,000.
Kwakuanzia anza na Tank yenye kupakia 20,000 litre size minimum, to be come a large scale supplier get 37,000-50,000 litre tank size.

2). Tafuta Dereva.
Hapo ndo hatari madereva wetu wengi vichwa maji, hivyo kuwa makini chagua mtu mwenye uzoefu na kazi ya udereva angalia na umri pia.

CHANGAMOTO ZA BIASHARA HII YA USAFIRISHAJI MAFUTA.

1).Gari kuanguka/kudondoka.
Kutokana na uzembe wa madereva wetu, rough driving ni bora kutafuta derva mwenye busara ili kukwepa hili.

2). Gari kuwaka moto.
Gari inaweza kuungua kwasababu bidhaa za Petroleum ni rahisi kushika moto,so its better to ensure a trucks and petrol products with a reputable insurance company.

BUDGET YA KUANZA BIASHARA HII KWA GARI 1
Scania/Iveco/Daf/volvo is around 60,000,000.

Tank is around usd 10.000-50,000.= 23,000,000.

Mshahara wa driver............................ 250,000.

Pesa ya matumizi njiani .....................200,000.

Misclleneous...................................... 600,000.

Jumla 83,160,000.00

Ni biashara nzuri sana.. inalipa hope u understand well.
Mkuu fany update ya 2024 za gharama na bei za gar trailer na dereva and misclleneous etc
 
Ok gharama iko Kama ifuatavyo
1.scania R440/480 2015-2016 Fob price Ni £12,000-15,000 shipping from UK to Tanzania £ 3,200-4,000 baada ya Apo tax valuation Ni 30m-32m baada ya kuingia dar.

2.Daf xf/cf 2012-2015 Fob £8950-12500 , shipping £ 3200-4000, na valuation tax Ni 18m-24m

3.Faw , How, Shacman Fob $31,000-32000 , shipping cost $2700-3500 na valuation tax Ni 32m

Trailer flatbed za kichina aina zote Fob Ni $10,000-$12,000 , shipping cost $ 2,200 na valuation tax $4,000-5000

🙏Nafikiri nimeandika vyema kiasi
 
Mkuu samahan bei hy ni ikiwa mpya au mtumba?
 
Asante sana mkuu thank Yiu very much and how about price per litre pale depot Bai nay ime change au bd Ile Ile ya 357tsh per litre?
 
Habari maswahiba, sio jambo baya tukipeana mawili matatu kwenye fursa na ujuzi wa biashara ili endapo mmmoja wetu atahitaji kufanya biashara hiyo awe na mwanga kidogo.
twende moja kwa moja kwenye mada husika.

Hii ni biashara ninayofanya na inalipa vizuri, na ukiwa unatafuta fursa kwenye Tanzania's Petroleum Industry basi hii ni chaguo lako itakufaa. Kitu kizuri ni kuwa huna haja ya kuhifadhi products kwa ajili ya marketing, ni kuchuukua from depot you suppy to retailers on demand, cash your money and smile to the bank.

FAIDA YA BIASHARA YA PETROL PRODUCTS SUPPLY.
Mahesabu huwaga ni per litre per tuck, ni kwamba.. Tuchukulie Dar es salaam to Mtwara ila bei inatofautiana inategemea na wapi unasambaza, lakini depots today ni 150 per litre, watakulipa Tzs 150 kwa litre 1 kusafirisha kutoka Dar es salaam to Mtwara. na kama utabeba 20,000 litres kwenye lori lako utakuwa una

150 x 20,000 = 3,000,000 Tzs.
ukitoa gharama zote faida ni 2,200,000.
hii ni kwa single trip na endapo ukipata trip 5 kwa mwezi
you earn 2,200,000 x 5 = 11,000,000 Tzs.
Mara nyingi mtaji unarudi ndani ya mwaka 1 hadi 2.

Swala la Tender za mafuta kwa hapa nchini.
Matumizi ya mafuta ya petroleum yanazidi kupanda kila baada ya siku, Na tender zipo nyingi tu hapa nchini kwa mfano mdogo.. Tanzania Kuna makampuni makubwa ya mafuta kama Oilcom, Kbfuel, Afroil, Total, Camel oil, Puma na vingine kibao pamoja na ma clients wao. Tatizo ni kuwa they have minimal trucks to transport petroleum products and satisfy all there stations kwa nchini na nje ya Tanzania na kusapply kwa clients wao hivyo they come out a head, and they pull out people with their own trucks to helps them distribute products .

VITU VYA KUANZIA KWENYE BIASHARA HII.
1).Tafuta Tanker.
Horse ina cost pound 7,000-10,000 = 27 mil + tra tax 23 = 50mil.
Tank atleast usd 10,000.
Kwakuanzia anza na Tank yenye kupakia 20,000 litre size minimum, to be come a large scale supplier get 37,000-50,000 litre tank size.

2). Tafuta Dereva.
Hapo ndo hatari madereva wetu wengi vichwa maji, hivyo kuwa makini chagua mtu mwenye uzoefu na kazi ya udereva angalia na umri pia.

CHANGAMOTO ZA BIASHARA HII YA USAFIRISHAJI MAFUTA.

1).Gari kuanguka/kudondoka.
Kutokana na uzembe wa madereva wetu, rough driving ni bora kutafuta derva mwenye busara ili kukwepa hili.

2). Gari kuwaka moto.
Gari inaweza kuungua kwasababu bidhaa za Petroleum ni rahisi kushika moto,so its better to ensure a trucks and petrol products with a reputable insurance company.

BUDGET YA KUANZA BIASHARA HII KWA GARI 1
Scania/Iveco/Daf/volvo is around 60,000,000.

Tank is around usd 10.000-50,000.= 23,000,000.

Mshahara wa driver............................ 250,000.

Pesa ya matumizi njiani .....................200,000.

Misclleneous...................................... 600,000.

Jumla 83,160,000.00

Ni biashara nzuri sana.. inalipa hope u understand well.
Kwa Hiyo Dreva Unamlipa 250,000 ili akutengenezee 11000000 per month?
 
Back
Top Bottom