Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

Inategemea una depot Petrol products wapi na unazipeleka wapi na kwa makubaliano ya malipo yapi? pia kuna wengine wana mikataba mara nyingine mkataba unalipwa baada ya miezi 3 kutokana na idadi ya gari zako zilizopiga trip kwenye kampuni husika
Pamoja na uzuri wa hiyo biashara ,lakini kulipwa baada ya miez mitatu kutafanya wanaoanza biashara washindwe,
 
Asante sana kwa kushare nasi hii,vipi kuhusu TRA na gharama zingine za barabarani?
 
Nktlogistics gharama ni kubwa sana kwa mtanzania wa chini kuanza hi biashara, vipi ukisema utumie gari za kukodi? mikataba ya wenye depot inasemaje kama utaamua kutumia gari la kukodi?
 
Nktlogistics gharama ni kubwa sana kwa mtanzania wa chini kuanza hi biashara, vipi ukisema utumie gari za kukodi? mikataba ya wenye depot inasemaje kama utaamua kutumia gari la kukodi?
Mikataba iko open haina tatizo na gari za Kukodi,kuanza biashara hii kwa gari ya kukodi ni gharama pia kwa watu wa chini sana
 
Mkuu habari ya wikiendi? Naomba nikuulize hili swali kuhusu biashara ya usafirishaji wa mafuta sababu wewe unauzoefu kwenye hii industry Ningependa kujua kuhusu tenda huwa zinapatikanaje?? huwa wanatangaza au?? Utaratibu upoje ili upate tenda??
Nktlogistics
Tender zipo mkuu, tena nyingi kuliko unavyodhani.. zipo za mikataba na kadhalika, pia hawatangazi
 
Nktlogistics, thanks a bunch kwa uzi huu. Umenipa morali sana ya kuzidisha mapambano towards my dreams.

Frankly speaking, I always dream of majoring into Logistics issues. Particularly in fuel/petroleum sector.

Whenever I attain bachelor degree in Logistics, I will endeavor to the maximum kufanya field work kwenye kampuni kubwa ya mafuta (like Puma) so that to learn well hii business.

HONESTY is always my best policy... I'm still at zero stage (both professionally & financially), lakini huwa nina ndoto kubwa sana kwenye Logistics issues, especially in petroleum industry.

Huwa napata ari mpya nisomapo nyuzi kama hizi.

Much blessings to you mkuu. Umeshea kitu kizuri. Interested people wenye uwezo na mtaji wamepata ABCs muhimu sana kuhusu hii business.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom