Biashara ya kunenepesha ng'ombe kuuza

Kuna njia za kumnenepesha mnyama sio lugha tu
Ninakuelewa. Maana ya kunenepa,ni kuongezeka mafuta mwilini! Kitaalamu,hii ya kunenepesha ngombe haielezei kirahisi tu hivyo. I'm aware of the several ways of fattening meat animals. Nevertheless, scientifically,meat animal fattening implies increasing its body weight in a shorter time with determined level of its meat quality such as lean,fat,taste,tenderness,colour. Different nutritious feeds singly or in combination can solely be used or plus growth promoters to fatten meat animals.
 
Uko vizuri na hiyo ndio biashara inayoongelewa
 
Ndugu,kama kuna ukame,naye mtoa post kasema unawachunga miezi miwili wananenepa! Loh! hii ikoje? Au majani yataota kwa vile unataka faida? Nahisi kuna mahali hujaeleza vizuri kuhusu kitu kinaitwa "Vyakula vya Ziada" hasa kipindi cha kiangazi.
kuna namna ya kunenepesha
 
Mimi nimeanza msimu huu tayari nimenunua kama 50 hivi mwaka huu bei zilikua chini sana,bei ya juu kabisa nimenunua 130,000,kwangu ni biashara mpya ila nipo kwenye kuitafiti kuona changamoto na faida zake,kwa sasa naendelea kunenepesha kwani mvua zimeshaanza na malisho sasa yapo yakutosha
 
Bandugu fursa nyingine hiyo mtaji mdogo tu kama m2 ivi, especially kwa wale wa mikoani, tafuta sehemu yako yenye marisho mazuri, nunua ng'ombe hata watano kwa lak 2 au 3 , walishe vizuri uza baada ya miezi 2 ivi wakinenepa vizuri hapo unaweza uza kwa lak 5 au 6 kwa kila ng'ombe.
kwa anaetaka kujikomboa na magu fursa hiyo hapo
Nawasilisha
Ushaifanya?
 
Mimi nimeanza msimu huu tayari nimenunua kama 50 hivi mwaka huu bei zilikua chini sana,bei ya juu kabisa nimenunua 130,000,kwangu ni biashara mpya ila nipo kwenye kuitafiti kuona changamoto na faida zake,kwa sasa naendelea kunenepesha kwani mvua zimeshaanza na malisho sasa yapo yakutosha
Very Good. Tunatakiwa kuchangamka namna hiyo,na usishangae ukaja uza 500,000/= kila mmoja. Kitakachokukwamisha ni kama utauza soko la ndani. Jitahidi uuze nje ya nchi watakapokuwa tayari. Takwimu za karibuni,zinaonyesha nyama inadoda kutokana na ukwasi. Mfano Dar,kuna maeneo kilo moja ya nyama ni Tsh 5500/= ambayo huko nyuma ilikuwa 8000/= hadi 9000/=. Ukipiga hesabu,ngombe wa kilo 250 (kwa ambao unao hawatafika hivyo),akichinjwa 48% ndio nyama sawa na kg 120*5500/= sawa na 66000. Ina maana atanunuliwa kama 400,000/ hivi mnadani Pugu. Ila huyohuyo ukimpeleka mf. Kenya,waweza kupata 600,000/= au zaidi.
 
Asante kwa uchambuzi na kunitia moyo
 
Mimi nimeanza msimu huu tayari nimenunua kama 50 hivi mwaka huu bei zilikua chini sana,bei ya juu kabisa nimenunua 130,000,kwangu ni biashara mpya ila nipo kwenye kuitafiti kuona changamoto na faida zake,kwa sasa naendelea kunenepesha kwani mvua zimeshaanza na malisho sasa yapo yakutosha
Mkuu maeneo gani tujuzane kabisa...
 
Mimi nimeanza msimu huu tayari nimenunua kama 50 hivi mwaka huu bei zilikua chini sana,bei ya juu kabisa nimenunua 130,000,kwangu ni biashara mpya ila nipo kwenye kuitafiti kuona changamoto na faida zake,kwa sasa naendelea kunenepesha kwani mvua zimeshaanza na malisho sasa yapo yakutosha
Dah mkuu umeanzia mbali sana lakini pia sijui hiyo bei uneifanikishaje.
Kila la heri. Panapo majaaliwa naweza kujifunza kwako
 
Mimi nimeanza msimu huu tayari nimenunua kama 50 hivi mwaka huu bei zilikua chini sana,bei ya juu kabisa nimenunua 130,000,kwangu ni biashara mpya ila nipo kwenye kuitafiti kuona changamoto na faida zake,kwa sasa naendelea kunenepesha kwani mvua zimeshaanza na malisho sasa yapo yakutosha
Nashukuru naona uzi wangu umeshanza kueleweka sasa mwanzoni nilipoandika nikaonekana kama sijui biashara vile, wakati watu tuna tengeneza pesa kirahisi kabisa, kama unakaa ofisini nashauri japo kutenga muda wakutembelea mradi japo mara 2 kabla ya kuuza.
 
Back
Top Bottom