Chasha ulipotea sana kaka...ni kweli kabisa siku hizi ofisi nyingi na sehemu za semina..training nk wanazoMkuu tatizo hizi Projecta nazo ni kama ilivyo kuwa kwa Komputa enzi hizo, kwa sasa unakuta Ofisi nyingi sana zina Projecta zao wenyewe, ni wachache sana wanao tegemea za kukodi,