Biashara ya kuhudumia mawakala

Bhushu

Member
Sep 30, 2020
10
4
Habar zenu wadau,

Mwenye uelewa na hii biashara ya kuhudumia mawakala wa huduma za kifedha, huku nilipo mawakala wengi ni wa airtel money, unakuta wakala hana kabisa flot ana cash pekee au ana cash lakini hana flot.

Nimevutiwa na hii biashara, mwenye uelewa na hii bishara anijuze, kamisheni zake zikoje lakini pia changamoto zake, pia mtaji unahitajika kiasi gani, karibuni kwa michango.
 
Airtel wabanaji sana,ila kwa Voda mchezo huwa upo hivi:wakala mkuu anakupa Till ya kusambaza float kisha mwisho wa mwezi yeye anakula 20% ya faidayote yamwezi alafu wewe anakuwekea 80%.
mnagawana parcent 20% kwa 80%.
mtaji wakwako na hasara yoyote ni yakwako.
 
Back
Top Bottom