Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,317
safi sana idea nzuri hyo.....changamoto kubwa katika hyo biznes ni frezer zenye nguvu na uwe na umeme wa uhakika...ila biznes hyo haidodi maana kila siku watu wanakufa
Kufa kwa watu sio tija.. issue ni kwamba huduma hio inahitajika ? Na ni kwa kiasi gani ?, sababu kama hospitali ina mortuary na zinakidhi demand sidhani kama hapo kutakuwa na demand ya kutosha.
Pili utakuwa unachaji kiasi gani na kwa muda gani na wafiwa watakuwa wanakupa kabla au baada ya kuchukua mwili, na kama hawajalipa siku ya kuchukua mwili utazuia mwili mpaka walipe au utawaachia siku wakipenda walipe au utawapeleka mahakamni ?