1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,364
- 3,199
salam zetu member wa jf!
Wanachama wenzangu kwa kweli ajira imekuwa ngumu sana kupatikana,sana sana kujiajiri tu ndo fursa bomba.
i.Sasa ombi langu kwenu,ni dogo tuu nahitaji ushauri wenu.
Ni kwmba nimekaa na serikali ya kichwa changu nikaona nivema kama itawezekana nifungue hii huduma ya kutunza/kuhifadhi maiti katika majokofu.
biashara hii nataka niifungue karibu kabisa na hosptali mojawapo hapa Dsm.Manake nimezungukia baadhi ya hosptali nikakuta baadhi ya maiti zinalazwa chini,nikaona hii ni fursa vilevile endapo ntanunua walau majokofu makubwa sita ya kuanzia.
Mkononi nina million 8tu.
Ushauri plz.