Biashara ya kufyatua tofarii

Yusufad

New Member
Feb 26, 2021
3
1
Msaada jaman nahtaji kufanya biashara ya kufyatua tofarii japo nataka kuanza kununua vifaaa hvyo kimoja kimoja,,mfano vibrator mixer ya mchanga naweza kupata wapi? Kwa Bei ganii? Ina uimara ganii? Mm kwa sasa Niko Dodoma pia Ile vibrator yenyew inayofyatua tofar wanauza Bei ganii?

Zinapatikana wapii? Japo naskia ya kuchonga Ni nzuri zaidii na motor zake wanauza Bei gan? Kama Kuna mtu yupo dodoma na anafanya hyo biashara nipeni maelekezo pia contacts zenu itapendeza Zaid maana nataka nijifunze kwa vitendo kabla ya kuanza biashara yenyewee!
 
Kwanza unatakiwa uwe namtaji isiwe ndiobiashara unayoitegemea kila siku maana tofalivhuwezi uza kila siku utauza Leo unaweza kaa hata mwezi hujauza tofali nafaida ya tofalimoja huwa haizid 300 hapo umeshatoa gharama zote kuanzia mchanga, wafyatuaji,umwagiliaji,upangaji
 
Kwanza unatakiwa uwe namtaji isiwe ndiobiashara unayoitegemea kila siku maana tofalivhuwezi uza kila siku utauza Leo unaweza kaa hata mwezi hujauza tofali nafaida ya tofalimoja huwa haizid 300 hapo umeshatoa gharama zote kuanzia mchanga, wafyatuaji, umwagiliaji, upangaji
Yap n kwelii nna Bajaj mbili saiz bags itansaidia maana najua changamoto ya biashara lazima uwe na subiraa, vp nawez kupata wapi hzo machine? Za kuchonga ndo nahis nzurii zaidi.
 
 
Mtaji angalau uwe na 15ml

So get prepared

Ingia google search biashara ya tofali utapata maelezo mengi na bei ya bidhaa zote unazozihtaji
 
Kuna jamaa mchongaji wa Machine japo yupo hapa Mwanza, ni fundi mzuri sana anaweza kukusaidia kwa swala la Machine, namba ake kwa mawasiliano zaidi 0754 687 990
 
Back
Top Bottom