Kama ni pesa ya mkopo uwe makini na mradi wa mda mrefuJuzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara.
Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke.
Kwakweli Mimi kwaupande wangu naamini biashara ni usimamizi na mm saivi niko kwenye ajira ya serikali nanilipo kuwa nataka kufungulia hiyo pharmacy nimbali kidogo na eneo langu la kazi .lengo langu ni hapo badae nije kuachana na ajira nifanye biashara wakati zikiwa zimesha simama ,
Option ya pili baada ya pharmacy ilikuwa ufugaji wa nguruwe ila nimefanya utafiti nimekuja kugundua huu ufugaji unaugumu sasa kutokana naulishaji pia kama uzalishaji nimkubwa soko lake ni finyu kidogo.kuna mtu kanishauri nitafute shamba nipande miti ya mbao baada ya miaka 10-15 nitazalisha hela nyingi.
Mwingine kanishauri nitafute eneo ninunue mbuzi 100 nifuge bada ya miaka mitano makadirio yakati ntakuwa nimesha zalisha mbuzi kama 1500 na soko la mbuzi liko juu sana.
Ushauri wenu wadau wangu!!.
Tangazo lako limekaa kijanja sana
Kivipi mkuu?Tangazo lako limekaa kijanja sana
Unanishauri nifanye ipi kati ya hizo pesa sio ya mkopo.Miradi uliyo ihainisha hapo yote ni mizuri mno(kama hiyo pesa sio ya mkopo)
Lakini ni LAZIMA UISIMAMIE MWENYE HIYO BIASHARA.
Anataafutwa mke hapo, hujaelewa nini? Hiyo habari ya biashara ni ulimbo tu wa kunasia. Akili mtu wangu.Kama ni pesa ya mkopo uwe makini na mradi wa mda mrefu
Jamaa anataka kwenda kumfugisha mtt wa watu mbuzi 1500 😄 aingie umasaini huko
Fikisha milioni 30 haujui nini cha kufanya? Kuwa makini na hizo pesa zako unaweza kuzikosa zoteJuzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara.
Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke.
Kwakweli Mimi kwaupande wangu naamini biashara ni usimamizi na mm saivi niko kwenye ajira ya serikali nanilipo kuwa nataka kufungulia hiyo pharmacy nimbali kidogo na eneo langu la kazi .lengo langu ni hapo badae nije kuachana na ajira nifanye biashara wakati zikiwa zimesha simama ,
Option ya pili baada ya pharmacy ilikuwa ufugaji wa nguruwe ila nimefanya utafiti nimekuja kugundua huu ufugaji unaugumu sasa kutokana naulishaji pia kama uzalishaji nimkubwa soko lake ni finyu kidogo.kuna mtu kanishauri nitafute shamba nipande miti ya mbao baada ya miaka 10-15 nitazalisha hela nyingi.
Mwingine kanishauri nitafute eneo ninunue mbuzi 100 nifuge bada ya miaka mitano makadirio yakati ntakuwa nimesha zalisha mbuzi kama 1500 na soko la mbuzi liko juu sana.
Ushauri wenu wadau wangu!!.
Huu ujinga umewahi kunikuta mimi aisee mleta mada awe makini Sana aiseeeAlaf ndoa ikija kuvunjika utamlaumu mtu, maana hapo unatafuta mfanyakazi sio mke na ukipata aliyesoma pharmacy hutaangalia vitu vingine utasukuma ndani
Mpaka sasa umeshapoteza nusu ya pambano coz hujui unataka nini.Kama ni mkopo usiende kukopa coz hujui utafanyia nini.Mara nyingi mkopo huendeleza biashara na siyo kuanzisha kutoka chini.kwa mtaji wa 30m
Juzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara.
Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke.
Kwakweli Mimi kwaupande wangu naamini biashara ni usimamizi na mm saivi niko kwenye ajira ya serikali nanilipo kuwa nataka kufungulia hiyo pharmacy nimbali kidogo na eneo langu la kazi .lengo langu ni hapo badae nije kuachana na ajira nifanye biashara wakati zikiwa zimesha simama ,
Option ya pili baada ya pharmacy ilikuwa ufugaji wa nguruwe ila nimefanya utafiti nimekuja kugundua huu ufugaji unaugumu sasa kutokana naulishaji pia kama uzalishaji nimkubwa soko lake ni finyu kidogo.kuna mtu kanishauri nitafute shamba nipande miti ya mbao baada ya miaka 10-15 nitazalisha hela nyingi.
Mwingine kanishauri nitafute eneo ninunue mbuzi 100 nifuge bada ya miaka mitano makadirio yakati ntakuwa nimesha zalisha mbuzi kama 1500 na soko la mbuzi liko juu sana.
Ushauri wenu wadau wangu!!.
Mshauri jambo kijana huyuJamaa anataka kwenda kumfugisha mtt wa watu mbuzi 1500 😄 aingie umasaini huko