Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
UFUGAJI WA KONOKONO TANZANIA
Nchini Tanzania ufugaji wa konokono ni biashara iliyosahaulika kwa kiasi kikubwa sana,watanzania wengi bado wanaamini zao hili haliwezekani kufugwa na upatikanaji wake ni kwa kuwaokota mashambani au katika mazingira yanayotuzunguka na haswa katika kipindi cha mvua.konokono wako katika kundi la wanyama wanaoitwa MOLUSCA (hermaphrodite),wanyama hawa wana jinsia mbili hivyo nivigumu kutofautisha kati ya male na female,mbinu za ufugaji wa zao hili zimekuwa mikononi mwa wabinafsi wachache wanaojinufaisha na ufugaji huu huku wakificha mbinu hizo.ufugaji huu ni rahisi sana na unahitaji tu utayari wa mfugaji na haswa ukizingatia kuwa ni vigumu sana kwa wanyama hawa kupatwa na magonjwa na hivyo hawana risk yoyote.
Uzuri wa ufugaji wa konokono ni kwamba,wana uwezo wa kutaga mamia ya mayai na huchukua muda mfupi sana kuzalisha maelfu ya konokono,kwa mfano konokono aina ya ACHATINA ACHATINA wana uwezo wa kutaga hadi mayai 400 katika batch.Konokono wachanga huuzwa kati ya shillingi 500-700,wakati konokono wakubwa waliofugwa vizuri huuzwa kati ya shillingi 1500-2000.
NAFASI YA KIPEKEE YA KUJIINGIZIA KIPATO
Mojawapo ya sifa kubwa inayowatofaisha wajasiriamali (Personal entrepreneur characteristic "PEC",ni uwezo wa kutafuta fursa.uwezo huu ndio unaotutofautisha kwa kiasi kibwa na wajasiriamali wakubwa kutokana na uwezo wao wa kuzitafuta,kuzitambua,na kuzifanyia kazi fursa hizo mojawapo ikiwa ni Ufugaji huu wa konokono.
FAIDA ZA UFUGAJI WA KONOKONO
TAKE ADVANTAGE OF THIS OPPORTUNITY OF BEING AMONG THE FORERUNNERS IN THIS GOLDEN VENTURE.

- Kwa ujumla kila sehemu ya mwili wa konokono ina manufaa na matumizi yake,kwa kifupi konokono hutumika kama chakula (source ya protini),pharmaceutical industries,manufacturing industries,uvuaji wa samaki n.k
- ufugaji wa konokono ni biashara pekee ya ufugaji inayoongoza kwa faida,na haswa ukizingatia kuwa konokono hawahitaji kununuliwa chakula na gharama za ufugaji huu ni ndogo sana huku faida yake ikiwa ni kubwa sana.
- konokono ni export commodity,thamani yao kubwa kimataifa inaweza kutuingizia pia fedha za kigeni na haswa ukizingatia kuwa hali ya hewa katika sehemu kubwa ya nchi yetu inawezesha kwa kiasi kikubwa ufugaji huu.
- Mahitaji ya konokono ni makubwa kuliko upatikanaji wake na hivyo soko ni kubwa inexhaustible locally na internationally.
- Biashara ya konokono ni mpya Tanzania,hivyo inatoa mwanya kwa wawekezaji watakaojiingiza kwenye biashara hii mapema kupata faida kubwa.
- kwa wagonjwa wa asthma wanaweza kutumia konokono kujitengenezea dawa ambayo inasemekana ni nzuri sana