Biashara ya kilimo cha tumbaku inalipa?

Pia mkumbushe awe makini kwenye kulangua tumbaku kudhulumiwa ni nje nje na hakuna pa kumpeleka aliekudhulumu mtamalizana kimtaani mtaani tu. Lakini pia wakulima nao siku hizi wamejanjaruka mwaka jana "soko huria" kama sikosei kilo ilifika hadi 3500-4000 kwa grade za juu (L10F,L10,M10 etc) hapo bado haujanunua jafafa, cotton twine na haujahonga sokoni uuze vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…