Biashara ya keki

ruge255

New Member
Dec 10, 2017
1
20
Wakuu naomba mnijuze kuhusu biashara ya Keki jinsi gani naweza kuifanya kua kubwa zaidi pamoja na Masoko.. Nawakarbisha wote.
 

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,454
2,000
Nakushauri ujieleze vizuri zaidi, wapo wengi wa kukusaidia.Unaweza kufanya breakdown ya maswali yako kulingana na uhitaji wako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom