Wakuu kuna mtu ameniambia kuwa kuna biashara anafanya ya kuchukua kamba kochi toka Msumbiji na kuwaleta Dsm,soko lake kubwa lipo kwa wachina .
Tupeana info kwa mwenye kujua zaidi hii biashara ipoje na changamoto zake, na bei ya soko ipoje!? Na je sio nyara za serikali kweli