Anzia ulipoHabarini wana jf nina mtaji wa 310,000 tsh lkn natak nitumie 150,000/= kufany biashara ya juisi za matunda. Naombeni ushauri sina blender wala freezer.
Nawasilisha
Plan ni kuifanyia wapi? Bar kisha unaweka kisehemu cha juice? Eneo tu la nje kwenye population?Sawa lkn ningependa IDEAS kidogo