mazingira ya dunia ya tatu yakoje asa kwa biashara hii bila kuchakachua mada?
Jamani tuwe realistic,watumiaji wengi wa internet wa kawaida yaani sio wanaotumia kibiashara(wale wanaotumia internet kwa kuchat) wamepungua,sababu kila mtu sasa anataka BBM na wengine wanweza kuaccess hizo social media zingine kwa simu,na wengi wana simu.
Upande wa wafanyabiashara,wanaohitaji kutumia internet kibiashara,wafanyabiashara Bongo hii ambao biashara zao haziwezi kwenda bila internet ni wachache sana,bado tunafanya business locally,lakini kama nikihitaji kutuma email naweza tumia simu,kwnn nikalipe 500 au buku kisa nataka tuma email tu!hiyo business imekufa.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
angalia uwingi wa watu wanaotumia hizo simu zenye internet,wewe utaona wengi sababu ya watu unaowaona ila wengi hawana izo simu na mara nyingine kwenye simu zinakuwa slow,mfano kwenye facebook uwezi kujua marafik wako ambao wapo online,ila utaona message na comment,ivo maitaj bado yapo
Angalia idadi ya watumiaji wa internet Tanzania,wafabiashara ni wachache sana,sasa hivi watumiaji ni wanafunzi hasa kwa social media,hilo suala la simu kuwa slow tuliweke kando sababu sijawahi kuliencounter.
Hawa watoto wa shule mostly wanatumia simu hilo halipingiki,internet cafe mwaka 2000 zilikua zinajaa,jaribu kuuliza wenye hizo cafe kwa sasa wanaonaje biashara.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
biashara ya internet cafe inategemea na mahali ulipo,ukiwa karibu na chuo/vyuo pia ukiwa kwenye maeneo ya watu wengi wanapita ni nzuri sana,ila kwa mitaani kwenye makazi ya watu ndio siku hiz azifany vizuri tofaut na mwanzo,
pia mikoani bado internet cafe inafanya vizuri,ivo inategemea na mahali ulipo,zaman ata mitaan biashara hio ilikuwa nzuri lakin sasa mitaan si nzuri bali kwenye maeneo ya watu wanapita,au vyuo inabamba
Sitegemei kama wengi hapa wanaendesha biashara hiyo. Jambo la msingi nenda kwe wenye biashara hiyo watakusaidia kupata dondoo za uhakika na uzoefu wao.Habari wana JF! Katika harakati za kupambana na ugumu wa maisha ni vema kuwa na vyanzo mbalimbali vya kupatia faranga! Sasa naomba kwa anayefahamu kuhusu gharama, hapa inajumuisha Computers, Server, na vitu vingine muhimu kwa ajili ya internet cafe na malipo ya packages za internet!
Nawasilisha.
Internet cafe business inaweza kuanza na computer 2 mpaka 20 au 30 kulingana na ukubwa wa eneo, sasa wewe unataka kuanza na computer ngapi? ukinijibu swali hili nitaendelea kukushauri zaidi.Ninafanya hii biashara.
Vizuri, nipo barabarani saiv nikitulia nitakupa ushauri mwanana.
Kwa ushauri wangu tafuta biashara nyingine ya kufanya, hiyo biashara inazidi kushuka kadri siku zinavyozidi kwenda,
Technology ya simu za mikononi kuwa na uwezo kama wa computer unakuwa kwa kasi saana.
Itakulaza njaa achana nayo
Kama bado nenda BRELA ukasajili biashara yako then nenda TRA ukachukue TIN # na ufuatilie leseni pale manispaa ya kinondoni.
Computer ya 11 itakuwa server ambapo itabidi ununue software inaitwa Cafezee inayouzwa kulingana na idadi ya computer ulizonazo uki-google watakuambia price ya software kwa computer zako 11
You need to have computer table ,chairs hizo utafanya mwenyewe calculations
Networking- hapa inategemea kama utafanya networking mwenyewe au uta-hire mtu (nipo ukinihitaji)
Requirements
· Network cable (utp) zinauzwa kwa meta
· Conduit
· Wall plates
· Switch
· Patch panel
· Modem
· Router
· UPS
· AC
ISP TTCL is the best internet provider in Tanzania nenda katika ofisi zao zilizo karibu ili uweze kupata huduma yao na zifuatazo ni gharama zao za internet labda ziwe zimebadilika.
TTCL line 23,000/=
Internet Connection 25,000/=
Modem and Router (zte) 55,000/=
TTCL land line 23,000/=
Internet bundle Nduki Gold 1 Mbps (Unlimited) Per month = 100,000/=
Usisasahau printer na scanner pia unaweza kuweka huduma ya passport size alafu ukawa na PC games ukawa unaziuza na latest movies
I hope nimesaidia

Sitegemei kama wengi hapa wanaendesha biashara hiyo. Jambo la msingi nenda kwe wenye biashara hiyo watakusaidia kupata dondoo za uhakika na uzoefu wao.
Itapendeza mkuu tena sana kwa vile stationary na Internet cafe zinaendana cha msingi ni kuwa tu na mpangilio mzuri.Umenisaidia sana hata mimi ila mi na computer 5 kwa Mwanza, then nataka niongeze stationary services Hapo Hapo si itapendeza mkuu
Mkuu umechanganua vizuri sana hata mie nimejifunza kitu hapa...thanks sana....Kama bado nenda BRELA ukasajili biashara yako then nenda TRA ukachukue TIN # na ufuatilie leseni pale manispaa ya kinondoni.
Computer ya 11 itakuwa server ambapo itabidi ununue software inaitwa Cafezee inayouzwa kulingana na idadi ya computer ulizonazo uki-google watakuambia price ya software kwa computer zako 11
You need to have computer table ,chairs hizo utafanya mwenyewe calculations
Networking- hapa inategemea kama utafanya networking mwenyewe au uta-hire mtu (nipo ukinihitaji)
Requirements
· Network cable (utp) zinauzwa kwa meta
· Conduit
· Wall plates
· Switch
· Patch panel
· Modem
· Router
· UPS
· AC
ISP – TTCL is the best internet provider in Tanzania nenda katika ofisi zao zilizo karibu ili uweze kupata huduma yao na zifuatazo ni gharama zao za internet labda ziwe zimebadilika.
TTCL line – 23,000/=
Internet Connection – 25,000/=
Modem and Router (zte) – 55,000/=
TTCL land line – 23,000/=
Internet bundle – Nduki Gold 1 Mbps (Unlimited) Per month = 100,000/=
Usisasahau printer na scanner pia unaweza kuweka huduma ya passport size alafu ukawa na PC games ukawa unaziuza na latest movies
I hope nimesaidia