Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
Gereza liwe na huduma ZA MARADHI?Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.
Gereza liwe na Huduma bora za maradhi,lishe,elimu,afya,michezo. Gereza like na shule za kisasa zenye maabara za kisasa na walimu kutoka taasisi zinazotambulika. Mtoto atapata Huduma za unifomu, mavazi, na stationary shuleni bila Tatizo,viwanja vya michezo na walimu wa michezo wakiwaongoza nyaja hiyo.
Afya na maradhi, gereza litakuwa na Hospital ya kisasa maalumu Kwa watoto,madaktali wenye sifa.
Lishe ya watoto italatibiwa na mtaalamu wa afya.
Nyumba za ibada zitakuwepo Kwa kila dini ili kutoathili imani ya mtoto.
Ninachoitaji kuelewa je serekari itakuwa tayari kumgalamia kila mtoto atakae kuwa akitumikia adhabu kama nchi nyingine zinavyofanya ili kuilinda haki na hadhi ya moto?
Jaribu Europe labda,Africa jela ni jehanamu ukiweza ishi jela za Africa ushindwi kuishi jelaNatumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.
Gereza liwe na Huduma bora za maradhi,lishe,elimu,afya,michezo. Gereza like na shule za kisasa zenye maabara za kisasa na walimu kutoka taasisi zinazotambulika. Mtoto atapata Huduma za unifomu, mavazi, na stationary shuleni bila Tatizo,viwanja vya michezo na walimu wa michezo wakiwaongoza nyaja hiyo.
Afya na maradhi, gereza litakuwa na Hospital ya kisasa maalumu Kwa watoto,madaktali wenye sifa.
Lishe ya watoto italatibiwa na mtaalamu wa afya.
Nyumba za ibada zitakuwepo Kwa kila dini ili kutoathili imani ya mtoto.
Ninachoitaji kuelewa je serekari itakuwa tayari kumgalamia kila mtoto atakae kuwa akitumikia adhabu kama nchi nyingine zinavyofanya ili kuilinda haki na hadhi ya moto?
SerikariGereza liwe na huduma ZA MARADHI?
Dooh hatari sanaGereza liwe na huduma ZA MARADHI?
marekani yapo magereza private.Biashara????? "ya" gereza???????
Alaf shule za gereza ziwe zinafaulisha vizuri kuliko shule zetu huku uraiani hahahahaaaaa..Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.