Biashara ya Duka Mwanza ni mzigo

Biashara ya Duka Mwanza ni mzigo

Tatizo mnataka kutoka haraka Kama wauza sembe!
 
Naona machinga mambo yao mengi chee kabisa, mi nakushauri uwe machinga. Tatizo hoja yako kuu hapa si gharama za uendeshaji, ni machinga. Unatamani hata mgambo washushwe sasa hivi. Una chuki na machinga, sasa ukiwakataa wao wakale wapi? Kumbuka wana familia Kama wewe, wanataka kutoka kama wewe. Cha msingi walalamikie magamba make sera zote za uendeshaji wa Serikali zipo chini Yao.

You got me wrong, hata siendeshi duka la nguo!
 
Jamani kwa ukweli ukilipa kodi zote na gharama zote biashara haiendi!!!!!!!

Mimi suala la kodi nilishaamua kuwa ntalipa unofficially!!!!!

Huko kwenye mshahara wanayokata inawatosha
 
You got me wrong, hata siendeshi duka la nguo!

I got you right, sehemu kubwa ya maelezo yako ni wamachinga. Nimekwambia kuhusu kodi lalamikia sera za magamba na si wamachinga.
 
Ha ha ha cyber nimekusoma ila mm nilishtuka mapema kama hata kilimo kinalipa mm pia najitahidi kulima na sio siri kilimo kimenikomboa! Ingawa mjini nako kuna rahanzake !
 
Mm rabda niwape siri mmoja wale wakaguzi wa tra hata ulipe vp na uwe mwema vp wakija kufanya ukaguzi wao lazima uwe na makosa na lazima uwape pesa ndio mana mm nimewajulia sijawahi kulipa kodi na sitolipa wakija tunamalizana na wenyewe wanafurahi wakimkuta asielipa kodi mana wanafaidika sasa jamani msilipe ili wakija kila myu afurahi
 
Mfano kwa mwaka makadirio rabda laki 8 wao wakija ukiwapa laki mbili haooooooo hawarudi mpaka mwakani wakati kule ukilipa hizo laki nane na wakija lazima wakutie jamba jamba
 
I got you right, sehemu kubwa ya maelezo yako ni wamachinga. Nimekwambia kuhusu kodi lalamikia sera za magamba na si wamachinga.

Hahahaha, wabongo kweli wagumu wa kuelewa, haujaangalia hata nimemquote nani, post yangu ya kwanza katika uzi huu nimemquote muanzisha mada, rejea sentensi yake ya pili kutoka mwisho. Post yangu ya pili ambayo ndiyo unasema nimezungumzia sana wamachinga ilikuwa jibu kwa mdau aliyetaka kufahamu wamachinga wanapata nafuu kivipi; sasa wewe unapoingia katikati bila kuelewa unashangaza tu! BTW, kwa nini unaonekana kukereka sana nikiongelea wamachinga?...ama wewe ni mmoja wao? mimi sina chuki nao kaka, nawarespect ni vijana wanaojituma kujitaftia rizki, kama na wewe ni mmoja wao sioni kwa nini unamind kiasi hiki, i just cant see why! Au wewe umeona kuna sehem NIMEMLALAKIKIA MMACHINGA, NIQUOTE KAKA TUWEKE SAWA!
Nothing personal bro,
Pamoja!
 
Jamani naomba kuuliza hizo machine za Tra wapi naweza pata kwa hiyo bei nimeulizia BMTL 1.2m
 
Kaka mm pia nipo katika kilimo na aisee hichi ndio ninachojivunia hiyo biashara nafanya na mm nionekane mtoto wa mjini ila halipi kihivyo karibu masasi kwenye ufuta
 
Back
Top Bottom