Biashara ya dagaa wa nyama

Biashara ya dagaa wa nyama

Mkuu hiyo biashara ina lipa lakini mtaji wako mdogo kule znz unanunua kila kg 4500 au 4600 ww huku dar utauza kg 6000
Mm naitaji dagaa nyama kwa iyo being nipo iringa kama upo serious niuzie kilo ishirini na tano
 
Back
Top Bottom