waziridagaakirumba
Member
- Jul 29, 2023
- 29
- 64
Na pote huwez pita bure.Leseni,Kibali na ushuru vyote hivyo asee?
Bado leseni ni 30k? Mwaka 2018 nilienda pale nikachukua leseni, mhusika akadai mwakani ambayo ni 2019 itapanda hadi 100k na point.Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea lakini anasamehe na kututendea mema pale tunapo jishughurisha.
EMBU TUANGALIE VITU VYA KUZINGATIA KWENYE BIASHARA YA DAGAA KUPELEKA MKOANI KUTOKA MWANZA ZIWA VICTORIA.
1.LESENI NDOGO YA KUSAFIRISHA DAGAA NDANI YA INCHI .Hii ni leseni ambayo upatikanaji wake ni rahisi kwa sababu ofsi zao zipo hapa KIRUMBA MWALONI MWANZA kwenye soko kuu la kimataifa la samaki na dagaa.Ambapo gharama yake kwa sasa ni shilingi elfu thelathini (Tsh 30,000/=).
Ukiwa na hiyo leseni unapeleka kila mkoa ndani ya Tanzania.
2. Kibali cha kusafirishia mzigo wako .hii document ni rahisi kuipata pia ndani ya dakika chache pia maana ofsi husika zipo hapa MWALONI KIRUMBA MWANZA Kwenye soko kuu la samaki na dagaa la kimataifa.(gharama ni ndogo pia ila inatozwa kulingana na mzigo wako ulivyo ukubwa).
3.Lipia ushuru wa mzigo wako unao usafirisha.kulipia ni rahisi pia maana wahusika wapo hapa hapa.
UKIWA NA HIVYO VITU KUFANYA BIASHARA YAKO NI RAHISI NA HAYUPO WA KUKUSUMBUA.
KWA WALE WANAO HITAJI DAGAA TAFADHALI NIPIGIE 0766029551.
SMS SITOJIBU HIVYO PIGA SIMU HIYO.
NdyoHiyo 30000 ya leseni ni Kwa mwaka au mda gn?
Kibali hulipii ila leseni ni kwa mwaka mzima! Ukiikata 2024 itatumika ndan ya huo mwaka bila kujali uliikata mwezi gani. Ushuru unategemea na uzito wa mzigo unaosafirshaLeseni,Kibali na ushuru vyote hivyo asee?
Mwaka mkuuHiyo 30000 ya leseni ni Kwa mwaka au mda gn?
mfano tani moja bei ganiKibali hulipii ila leseni ni kwa mwaka mzima! Ukiikata 2024 itatumika ndan ya huo mwaka bila kujali uliikata mwezi gani. Ushuru unategemea na uzito wa mzigo unaosafirsha
Huwa wana wastani per kilo. Sikumbuki but ni amount ndogo sana ya ushurumfano tani moja bei gani
inaweza kuchezea ngapiHuwa wana wastani per kilo. Sikumbuki but ni amount ndogo sana ya ushuru
approximately to 25kinaweza kuchezea ngapi
kwa kg 100 sioapproximately to 25k
Gunia moja ina kilo 40.piga hesabu mkuuHuwa wana wastani per kilo. Sikumbuki but ni amount ndogo sana ya ushuru
Pole ndugu,,almost kila biashara especially za Africa zinahitaji usimamizi wa karibu kutokana na mazingira yetu na watu wanaotuzunguka.Nishafanya hii biashara kutoa dagaa igombe kuleta mwaloni, nilipigwa na kitu kizito.. muwe mnasema na changamoto zake, wekeni bayana
Kweli watu wanatoka ila kama huna muda wa kusimamia man to man sishauri mtu aingie huku.
Ushuru Tsh 1,400 kwa gunia yenye kilo 40.mfano tani moja bei gani