wana JF,
Nataka kufungua kituo cha kufundisha computer short courses kama introduction, office packages, na baadae graphics na web development.
Naomba wenye uzoefu na ufahamu juu ya taratibu za kufuata kisheria wanisaidie ili niweze kutoa certificate na biashara isonge mbele.
Mimi nimesoma computer course kwa level ya adv diploma, ninaweza kununua computer hata 10.
Natamani kuwa mjasiriamali, mawazo yenu nitayathamini.