Hii biashara ilishamiri sana kanda ya ziwa yaani wakati Dar wanahangaika na kuzunguusha antena mikoa mingine wao walikuwa wanapeta tu, ving'amuzi vya star times ndio vilikuja kuharibu deal kutokana na teknolojia ilionekana rahisi kwa kutumia antenna ya ndani.Mkuu wachawi wako wa hiyo biashara watakuwa ni Azamu na Dstv labda kama uta sambaza baadhi ya channels tu ila ukisambaza za kuonyesha ligi ya bongo Azamu utawa kuta mlangoni kwako na kama ukiweka na ligi ya England napo Dstv utawakuta mlangoni kwako hata kama channels zako sio za superspots watakwambia wao ndiyo wana hatimiliki kwa Tz....hapo ukitaka we kwenye cable tv yako weka channels zako zote za FTA za bongo na za nje za movie na music ila napo wadau wengi kwenye cable wanataka ligi pendwa hapo juu ambapo ukiziweka tu hizo channels ndiyo vita inapo anzia.
Yeah sure kuna kipind nilikuwa mkoani huko jamaa alikuwa ana sambaza huduma ya cable tv na ana kupa na digital cable box so hiyo hakuna tofauti na mtu mwenye dish kitu kinakuwa ni clear hakuna chenga na ni mwendo wa HD tu hapo tulikuwa tuna chek ligi zote kubwa mpaka UEFA na channels zote za movie zile HBO sijui SONY Pix na zingne nyingi tu halafu kwa mwezi mna toa elfu kumi tu wakat ingekuwa Dstv ni premium laki na shingap huko ila wajomba wa Dstv wakitimba mkoani jamaa ina bidi azi switch off zile channels zote za mpira mpaka waondoke na jamaa walikuwa wanakuja kwenye msimu wa UEFA walikuwa wana niboa.Hii biashara ilishamiri sana kanda ya ziwa yaani wakati Dar wanahangaika na kuzunguusha antena mikoa mingine wao walikuwa wanapeta tu, ving'amuzi vya star times ndio vilikuja kuharibu deal kutokana na teknolojia ilionekana rahisi kwa kutumia antenna ya ndani. Kuna miaka maeneo mengine ya mkoa wa Kagera ilikuwa wanapeta tu na DSTV kutokana na kipindi kile ofisi za DSTV kuwa miji mikubwa tu na maeneo mengine ya mipakani wanahudumiwa kupitia nje ya nchi
Mkuu nimefanya tafiti za kutodha mfano ukiwa na alpha box hd decoder kwa satelite 52e unapata mipira yote ya UEFA,LALIGA,Mkuu wachawi wako wa hiyo biashara watakuwa ni Azamu na Dstv labda kama uta sambaza baadhi ya channels tu ila ukisambaza za kuonyesha ligi ya bongo Azamu utawa kuta mlangoni kwako na kama ukiweka na ligi ya England napo Dstv utawakuta mlangoni kwako hata kama channels zako sio za superspots watakwambia wao ndiyo wana hatimiliki kwa Tz....hapo ukitaka we kwenye cable tv yako weka channels zako zote za FTA za bongo na za nje za movie na music ila napo wadau wengi kwenye cable wanataka ligi pendwa hapo juu ambapo ukiziweka tu hizo channels ndiyo vita inapo anzia.
Biashara ipo na inafanyika vizuri nipo mwanza mfano mwanza kuna barmedas,na mwanza satelite wamesambaza jiji zima wanapiga hela tumkuu hii kitu sijui kama bado wanaruhusu
DSTV hawaruhusu wengi wenye cable tv wanatumia canal sports kuonyesha mpiraMkuu nimefanya tafiti za kutodha mfano ukiwa na alpha box hd decoder kwa satelite 52e unapata mipira yote ya UEFA,LALIGA,
Halafu pia dstv ...wanaruhusu channel zao kirishwa kwenye cable kwa hilo halina tatizo ...azamu ndio hairuhusiwi ni kosa la kisheria
Mbona ulaya kuna cable tv mpk leo zinafanya vizuri pamoja na kuwa na vingamuzi kikubwa ni ubora tu wa huduma yako na transmiter unayotumia
sent from HUAWEI
Kwa Mwanza labda uchague maeneo ya pembezoni, labda kwa kuanzia chagua eneo kama Buswelu maana Mwanza satelite na Barmeda hawajafika na sidhani kama wana mpango wa kufika, kwa siku za usoni unaweza ukatengeneza himaya yako hukoBiashara ipo na inafanyika vizuri nipo mwanza mfano mwanza kuna barmedas,na mwanza satelite wamesambaza jiji zima wanapiga hela tu
sio wote wanauwezo na vingamuzi nafikiria hii itakuwa ni programu nzuri kwa wenye kipato cha chini
sent from HUAWEI
Biashara ipo na inafanyika vizuri nipo mwanza mfano mwanza kuna barmedas,na mwanza satelite wamesambaza jiji zima wanapiga hela tu
sio wote wanauwezo na vingamuzi nafikiria hii itakuwa ni programu nzuri kwa wenye kipato cha chini
sent from HUAWEI
Mkuu samahani naweza kukuPMBiashara ipo na inafanyika vizuri nipo mwanza mfano mwanza kuna barmedas,na mwanza satelite wamesambaza jiji zima wanapiga hela tu
sio wote wanauwezo na vingamuzi nafikiria hii itakuwa ni programu nzuri kwa wenye kipato cha chini
sent from HUAWEI
Asante sana mkuuuKwanza nikupongeze kwa wazo lako zuri la kuanzisha biashara ya cable Tv. Wengi wasichojua ni kwamba hizi channel nyingi za muziki, movie, michezo kama ngumi na mieleka na documentary ni Free to air (FTA). Kikubwa ujue direction na satelaiti wanazorushia masafa yao. Za mpira nyingi ni za kulipia ingawa zipo za free pia. Biashara ya cable bado ipo ipo sana, wapo tanga Cable Tv, Upanga Dar zipo, Mwanza wapo barmedas, Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma wapo pia wasambazaji, Tabora mjini wapo akina Shashi, Mbeya alikuwepo Dhandho nk.
ANZA HIVI
1. Tafuta eneo zuri ambalo unaweza kuweka madishi mengi (20 ama zaidi) makubwa na madogo (KU na C band).
2. Nunua RF modulator kubwa (hii inasaidia kupanga frequency za channels mbalimbali kutoka kwenye disecqs switches.
3. Nunua heavy duty coaxial cable pamoja na trunk amplifiers (wanaita booster).
4. Nunua vingamuzi kadhaa hasa vinavyofungua encrypted channels kama vile Strong, Android box, canal sat na BeIn sports.
5. Malizia kwa kununua vifaa vidogo vidogo kadhaa kama rf splitter, pin na connectors.
ZINGATIA
1. Makaburu pamoja na lambalamba hawaruhusu channels zao kurushwa kwenye cable (zile zenye nembo zao kama vile sinema zetu, maisha magic nk).
2. Omba leseni halali za biashara kutoka TCRA na halmashauri ya mji ulipo ili ulipe kodi halali na kukuza uchumi wetu.
3. Vifaa karibia vyote nilivyotaja hapo juu unaweza kuvipata kule Kariakoo Dsm kwa bei nafuu sana
Nikutakie kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vp! nasikia pia ukifungua ukumbi ukatumia ving'amuzi vyao kuonyesha mpira wanaleta usumbufu, ni kweli sio halali kurusha kwenye ukumbi, hata kama unakisimbuzi cha Azam au DSTV?Kwanza nikupongeze kwa wazo lako zuri la kuanzisha biashara ya cable Tv. Wengi wasichojua ni kwamba hizi channel nyingi za muziki, movie, michezo kama ngumi na mieleka na documentary ni Free to air (FTA). Kikubwa ujue direction na satelaiti wanazorushia masafa yao. Za mpira nyingi ni za kulipia ingawa zipo za free pia. Biashara ya cable bado ipo ipo sana, wapo tanga Cable Tv, Upanga Dar zipo, Mwanza wapo barmedas, Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma wapo pia wasambazaji, Tabora mjini wapo akina Shashi, Mbeya alikuwepo Dhandho nk.
ANZA HIVI
1. Tafuta eneo zuri ambalo unaweza kuweka madishi mengi (20 ama zaidi) makubwa na madogo (KU na C band).
2. Nunua RF modulator kubwa (hii inasaidia kupanga frequency za channels mbalimbali kutoka kwenye disecqs switches.
3. Nunua heavy duty coaxial cable pamoja na trunk amplifiers (wanaita booster).
4. Nunua vingamuzi kadhaa hasa vinavyofungua encrypted channels kama vile Strong, Android box, canal sat na BeIn sports.
5. Malizia kwa kununua vifaa vidogo vidogo kadhaa kama rf splitter, pin na connectors.
ZINGATIA
1. Makaburu pamoja na lambalamba hawaruhusu channels zao kurushwa kwenye cable (zile zenye nembo zao kama vile sinema zetu, maisha magic nk).
2. Omba leseni halali za biashara kutoka TCRA na halmashauri ya mji ulipo ili ulipe kodi halali na kukuza uchumi wetu.
3. Vifaa karibia vyote nilivyotaja hapo juu unaweza kuvipata kule Kariakoo Dsm kwa bei nafuu sana
Nikutakie kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuambia dstv wanaruhusu channel zao kusambazwa kakudanganya acha kuokota habari toka vijiweni vitakupotoshaMkuu nimefanya tafiti za kutodha mfano ukiwa na alpha box hd decoder kwa satelite 52e unapata mipira yote ya UEFA,LALIGA,