Biashara ya butcher

Biashara ya butcher

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
47
Habari wa ndg.naomba msaada kwa anaejua biashara hii faida na changamoto zake maana kuna eneo nimeona kuna butcher moja tu hivyo likanijia wazo hilo.Najua jf ni sehemu ambayo unaweza kufanyia utafiti.Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom