BIASHARA YA BUCHA-nyama ya ng'ombe na mbuzi

nandengele

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
689
803
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata ufahamu wa biashara ya bucha
,namna inavyofanyika, changamoto na faida zake
 
wadau njooni mchangie hapa, mimi binafsi hua nashangaa sana hapa mjini nyama ghali sana alafu huko mikoani wananchi wana mifugo mingi hadi inasababisha vita na bado wao ni masikini...kuna haja ya kuongezwa kwa mabucha hapa mjini
 
Duuuh...Wakiongezwa mabucha tutakwisha wote
 
Back
Top Bottom